Recent content by lameckkawawa

  1. lameckkawawa

    Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi 2025, tunyamaze milele

    Mwalimu mzuri ni mdaa hii ccm iwape katiba mpyaa kuna kazi ya kufanya apo
  2. lameckkawawa

    Mpanda: Aliyeporwa udiwani amwaga machozi mbele ya Mbowe

    Unajua kuna kipindi cha magufuli kulikua na ubabe sana kwenye siasa ukiwa mpinzani usaminiwi kabisa inauma jamani
  3. lameckkawawa

    Ni mara ya pili sasa nachapiwa

    Mkuu mwanamke unaweza mpa kila kitu ila bado akachepuka tu unapga show dhamana ila bado anatoka nje
  4. lameckkawawa

    Chai yenye tangawizi nyingi ya kusagwa ni noma wakuu

    Wakuu hii kitu sio poa tangawizi kwa wingi show yake sio ya kitoto tumie hii kitu
  5. lameckkawawa

    Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

    Lazima wapate ufumbuzi ndiyo maana ya mgomo
  6. lameckkawawa

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Embu nisaidieni site ya ku download
  7. lameckkawawa

    Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

    Mi aliniambia anataka kuludi kwao so mpaka leo kimya
  8. lameckkawawa

    Series (Special thread)

    Dah natumia uTorrent inanigomea je ipi nzuri kwa kudownload movie
  9. lameckkawawa

    Ulijuaje mpenzi wako anaku-cheat, na kwanini?

    Kuna kabinti nilikapenda sana nilikuanacho mwanza so mishe mishe ikabidi nije dar mzee nikajipanga nikatuma nauli kakaja fresh baada week 3 kana anza kusumbua nataka kurudi home mi ni mkazia cna nauli akasema anayo duh fresh msindikiza akasepa niulimia sana tangu siku hiyo atuna mawasiliona...
  10. lameckkawawa

    Natafuta mchumba wa kike

    Mkuu mke mwema anatoka kwa bwana sio humu
  11. lameckkawawa

    Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

    Weka kwenye boda boda mpe dereva mwenye familia mpe mkataba alafu nyingne endesha mwenyew kwa mwezi 520k au zaidi usiope ndani miezi 9 utafikia melengo yako kumbuka uvumilivu mkubwa unatajika kufikia malengo watu jenga kupitia boda boda
  12. lameckkawawa

    Corona imekwisha, Makonda toa Bodaboda mjini

    Mkuu uleweka ila ngoja kidogo watatoka tu mda ukifika kwa sasa kuwa mpole tu
Back
Top Bottom