Hata hivyo Sheikh Ponda amehukumiwa kifungo cha nje mwaka mmoja kutokana na utetezi wake kuonyesha kulikuwa na nia ya kutenda kosa
Kosa: Shitaka la Uchochez
Aisee Haki ya nani hii nchi noma na nazidi
kuamini Hakika Fisadi nchi hii hafugwi
Spika kanishangaza sana pia na serikali
yake, sasa kesho Bunge lina harishwa mpk
mwakani April na huku watu wamekula
mtonyo na hakuna cha kuwafanya.
Hii nchi kuna wanayoijua na kufanya
wanachotaka. Si tutalia njaa...
Ni aisee hawa watu nataka waende Segerea this time. Wameshakula hela zetu sana
.Mara Rada, Mara EPA, Richmond, makaa ya mawe kiwila. Now Escrow na wako mitaani tu. Hapana aisee tumechoka
Aisee nyie viongozi wetu. Inabidi sasa mjue wazi kuwa kwa suala hili mmetuuzi na kutukera kupita maelezo. Na itabid kwanza CCM itoke madarakani kwa muda Wajisafishe ndio warudi huu Sasa ufala. Wamepiga hela mingi sana aisee. Daah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.