NACTE wanasimama wapi?au ndio wanakufa kimya kimya?maana wao ndio waliokuwa wasimamizi wakubwa wa vyuo vya ufundi,sasa kwa mtafaruku huu sijui nini kinaendelea.
Mkuu @liliwayne
Tunawasaidia vijana,elimu ndio kila kitu, huku kimeshabana na uwezekano wa kupata hayo madaraja ni Mdgo sana,njia sahihi ni huko kidato cha tano.
Napenda kuwashauri tena na tena vijana walioko kidato cha nne na ambao wanategemea kufanya mtihani wa kidato cha nne mwezi Oktoba, wakati wa kuchagua nafasi za kuendelea na masomo yao, wawe makini sana, kwenda kidato cha sita ndio njia rahisi ya kuweza kusoma elimu ya juu.
Kama una ufaulu mzuri...
Hakuna ki la za buyuni labda tukupe taarifa, ratiba ya kutengeneza inaonyesha greda litakuja kutengeneza barabara ya Taliani hadi nyumba za pspf kwa kwa siku ambazo zimeshapita,ie 12 hadi 13 mwezi wa saba,barabara ya Taliani hadi hzo nyumba ni kama km 4 hadi tano, na ubovu wa hyo barabara sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.