Recent content by lalys

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Kamati Kuu: Ni Lowassa Pekee Ndiye wa kuibomoa UKAWA!

    Hakuna mganga zaidi ya Mungu wa mbinguni.Mungu ni mwema c mchoyo tumeomba EL awe rais 2015 na kwa kuwa tuna imani tunasubiri wakat uwadie.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lowassa ni Kweli Fedha zako Nimekula Lakini Naomba Unisamehe

    Tumewazoea,mtasema sana cc tunaamini Moira ni dk 90 penati uzembe 2 was wachezj.Tumejipanga sawa kucheza ndani ya dk hizo na mshindi ni Timu Eddo weweeeeee.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lowassa ni Kweli Fedha zako Nimekula Lakini Naomba Unisamehe

    Acha majungu na unafki,anayegombea anajua kampeni zikoje matumiz ya PESA hayaepukiki.Imetosha kumchafua Lowassa tunajua Mungu c mchoyo tumeomba Lowassa awe rais sasa tunasubir mapenzi yake Mungu mwenyewe.Ya binaadamu hatuyajali ni maneno 2 Hata kwenye kanga yapo.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Amina Salum Ali atangaza kuwania Urais

    Ni ibara gani kwenye katiba ye2 ya Tanzania inasema nchi ye2 iongozwe na wanaume pekee?Hamsini kwa hamsini ndo mpango mzima wanawake tunaweza
  5. L

    JamiiForums Tanzania CCM kwaiva: Kama si Salim ni Mwandosya

    Hureeeeeeeeer Lowassa 2tashinda pamoja
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Umesema kweli 2015 raid wetu EL tunaomba M.Mungu atomize ombi letu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Kumkosesha Urais Edward Lowassa ni Ndani ya CCM asipate na Hata Upinzani, ipo hivi

    Mwiz alikuibia nn,muogope Mungu kushabikia lowassa mwiz-kila lenye mwanzo lina mwisho punguzeni maths na lugha za kashfa kwani EL akiwa raid wewe unapungukiwa na nn
  8. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa kukaangwa kama Yesu!

    Mh,hatareeeeeeeeeeeee
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kaangio jipya kwa baadhi ya watia nia Urais kwa tiketi ya CCM-Dodoma

    Tumuombee M.Mungu,binadamu tumetamani iwe hivyo.Tunakabidhi suala hill kwake aweze kulikamilisha-2kumbuke Mungu cyo mchoyo kila unachoomba hutoa.Tumeomba kwaajili ya EL
  10. L

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kuhusu Lowassa, Wana-Arusha hawajui

    Hongereni kwa kumtaja Lowassa kila siku,kumbe mnapendaeer ndiyo raid we2 awamu ya 5
  11. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Semeni mabaya yote muyajuayo,Hata yesu alipokuja kuokoa alitukanwa na kudhihakiwa sana itakuwaje kwa lowassa,mkichoka mtalala
  12. L

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuyanunua makundi ya kijamii kumuunga mkono, Edward Lowassa sasa avinunua Vyombo vya Habari

    Muacheni lowassa kipenzi cha wengi-chaguo LA Mungu
  13. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hamisi Kigwangala acharuka, ataka wagombea urais wanaotumia fedha majina yao yakatwe

    Acheni majungu Mchana kweupe,Edward anatisha yuko juu hizo PESA amezihonga wapi toeni ushaidi sio kuropoka tu
  14. L

    JamiiForums Tanzania Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

    Wa kumuombea ni mumewe ac endelee kuangamiza wasichana wasio na Hata makusudi akijifanya mlokole.Tuna skendo take yote mkononi,anzia kwa binti wa kisukuma waliyekutana kwa nabii flora.jinc walivyokwenda kupima alifanyaje majibu yake
  15. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa hakudhuria Msiba wa Mwalimu Nyerere

    Watu kama hawajamtaja lowassa hawajiamini kama cku yao imepita,muacheni mtoto was mwanaume mwenzenu ukitaka Hata wewe gombea huo urais hujakatazwa.
Back
Top Bottom