Recent content by lala mbere

  1. L

    JamiiForums Tanzania Alipenda mwanamke kumbe ni jini..

    hapo ulipo unadhai yesu ni yule mshkaji alieigiza ile movie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au uongo?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Alipenda mwanamke kumbe ni jini..

    Acha uongo,tubanwe na nini?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kambarage Stadium kama Old Traford/Sansiro/Giusepe meaza

    kuna mechi moja nakumbuka simba alikua anatafutiwa matokeo kule shy mpira ulichezwa dk zaidi ya 100 lakini wakaangukia pua
  4. L

    JamiiForums Tanzania Alipenda mwanamke kumbe ni jini..

    Umeitangaza vyema dini yako haya kojoa upumzike sasa,kesho uje na kahawa nyingine.
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anajiuza huku mume wake hajui

    Comment za watu wengi humu zinasikitisha sana,anyway MUNGU atayafanyia kazi maneno yao hao wanaoona mleta uzi ni mbea,nowdayz vitendo viovu havikemewi tena bali vinasifiwa,hatari sana.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Diamond anunua kifaa cha 40M (Wasafi Records)

    D si mtu wa mchezomchezo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya Kafulila: Mpambano bado unaendelea Tabora

    unaweza kuelezea hii hoja yako dada yetu.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mechi hizi.. Hakuna timu ya kumzuia Simba S.C ....

    mbumbumbu member.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mechi hizi.. Hakuna timu ya kumzuia Simba S.C ....

    kiongozi wako ndo kakuita mbumbumbu mi nimenukuu tu,sihusiki.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

    walimu wanaonewa sana nchi hii,ajabu kuna kitu kinaitwa c.w.t kipo hapahapa tz
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikimpa ni kama namwongezea spidi zaidi..

    Watoto wa kizazi hiki tabu tupu,kuombwa hela eti inaanzishiwa uzi,nyie mods mnaharibu jukwaa kwa kuachia upuuzi kama huu,haiwezekani eti jitu zima ukose jibu la jambo la kitoto kama hilo
  12. L

    JamiiForums Tanzania DC awatupa lupango mkurugenzi, mhasibu Halmashauri ya Sengerema

    fedha zipo huyo dc sio chizi kuna watu huko maofisini wanapenda kunyenyekewa sana,wake huko ili adabu iwaingie kidogo,nna uhakika wakitoka huko chini ya saa 12 hela zimelipwa
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka nibadili dhehebu ili ndoa ije ifungwe

    Hapo hakuna ndoa ngoja huyo manzi amalize chuo then watu wenye hela zetu tumpe nafasi ofisini kwetu then utaona kitakachotokea,saa hivi unadanganywa tu dogo,hebu soma kwanza.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mechi hizi.. Hakuna timu ya kumzuia Simba S.C ....

    We mbumbumbu member hebu anza wewe kwenda takukuru kupeleka hayo malalamika ya yanga kuhonga
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mechi hizi.. Hakuna timu ya kumzuia Simba S.C ....

    una ushahidi uniwekeee?mimi nna ushahidi kupitia kessy simba kutaka kumhonga akiwa mtibwa
Back
Top Bottom