Rufaa ya Kafulila: Mpambano bado unaendelea Tabora

Rufaa ya Kafulila: Mpambano bado unaendelea Tabora

Hakuna mtu yeyote anayemtaka tena huyo Kafulila. Akaendelee kutumika na mafisadi.

ESCROW ni pesa ya Umma au ya gabacholi anayelindwa kwa maguvu yote na nyinyiem??

Ukijibu tu hili nitajua nawe ni kimbwa au kamtu ndani ya hicho chama chenu cha zamani
 
kafulila atashinda wezi wa escrow wapo bungeni wanamalizia migao yao
 
Tulimwita TUMBILI leo serikali inatakiwa kulipa IPTL 320 bilion shillings,tueleze fisadi ni yupi?


mkuu,kuna watu wana mtindio wa akili ilhali wanajiona ni timamu,rejea ripoti ya juzi juzo kuwa asilimia zaidi ya 40 ya watanzania wana mtindio wa akili,kwa hiyo vitu vingine usijiulize sana utaumiza kichwa bure tu
 
Kafulila komaa wapenda haki wote tuko pamoja nawe
 
Nimesikia kwenye azama imetupiliwa mbali
Mleta mada hajielewi ,atakuwa bavicha
 
mkuu,kuna watu wana mtindio wa akili ilhali wanajiona ni timamu,rejea ripoti ya juzi juzo kuwa asilimia zaidi ya 40 ya watanzania wana mtindio wa akili,kwa hiyo vitu vingine usijiulize sana utaumiza kichwa bure tu

Naelewa kaka ndiyo sababu watawala wanafikiria kwamba watu wote ni kati ya wale wanne
 
Kafulila achana na kesi unapoteza mda na pesa,Jipange kwa uchaguzi ujao.
 
Hakuna mtu yeyote anayemtaka tena huyo Kafulila. Akaendelee kutumika na mafisadi.

Sumu hivi umekunywa au uko mzima kabisa?Hivi wale waliokwapua Bilioni 320 za ESCROW tuwaitaje ndugu yangu?Leo Magufuli amekataa kulipa anasema mliokula mlipe wenyewe?

Hivi fisadi ni kweli Kafulila au akina Muhongo & Coy?Kwenye ukweli acha ITIKADI.Daima tuweke TAIFA kwanza ITIKADI zetu baadaye.Kwa nchi za wenzetu KAFULILA alitakiwa kuwa ALIMASI,leo tumempa kila jina ni aibu kubwa kwa TAIFA linalojinasibu ati linapiga vita RUSHWA.Ninaomba mwenyenzi Mungu amrudishe KAFULILA ndani ya nyumba
 
CDM wenye ndimi mbili! Mchafu Leo na kesho ni Malaika. Shame!
Huko lumumba kuna mtu anaplan kufanya malaika wawe mashetani.

Sasa jipime. Yupi bora kati ya anaegeuza shetani kuwa malaika au anaegeuza malaika kuwa shetani? Wekeni akiba ya maneno.
 
Litigation ni kama kamari wakati mwingine. Atumie busara kuachana na mahakama asubiri 2020!
 
Siamini kuwa jaji yule alipandishwa cheo kwa uanuzi ule! Kumbe kesi za uchaguzi zina motisha chanya kwa wanaozihukumu? Kweli, nchi hii maajabu hayatokaa yaishe?
Kwa maneno mengine serikali imeridhia kulipa yule singasinga siyo?
 
Back
Top Bottom