Recent content by Lakuchumpa123

  1. L

    JamiiForums Tanzania UKAWA na akili za kutawaliwa na wazungu!

    Pumba tupu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya KILENGA ni ya mkubwa gani hapa Tanzania?

    Nchi hii inamhitaji Yesu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Umekaa upande gani hapo nije?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Huyu shoga ananifuatilia tangu mwaka 2011

    Kuna kijana mmoja aliwahi kunipigia simu mwaka 2011 akinitaka tuwe marafiki. Awali nilidhani ni msichana kwa jinsi alivyokuwa akilainisha sauti. Aliniambia anataka tuonane Tandale. Nilikwenda kesho yake lakini hatukuonana. Lakini aliendelea kunisumbua kila siku kwa sms za mapenzi. Sikh mmoja...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Kama ni mtendaji si angebaki kufanya kazi aliyosomea? Mtu ameingia kwenye siasa mwaka 1995 hadi leo hajui siasa za vyama, halafu anataka tumpe urais?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

    Kama ni hivyo mwambieni asifanye kampeni ajifungie tu, atajikuta ikulu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Think tanks Ukawa na CCM piteni hapa kuna jambo la kujifunza

    Utafiti wako haueleweki
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

    Dk. Magufuli hasikiki kabisa, sijui kapotelea wapi
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

    Mada haihusu wagombea urais, na Lowassa ni nani?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ufisadi-UKAWA wakwepa hoja hii ya Magufuli

    Kweli hiyo mahakama ianzishwe na iwakamate waliojiuzia nyumba za serikali
  11. L

    JamiiForums Tanzania Inauma lakini so far nimeprove kuwa ni kweli

    Nashawishika kukuita punguani kama alivyofananisha Dr. Watson. Sikatai kwamba Dr. Slaa kaeleza hoja zake, lakini timing yake haikuwa nzuri. Kwa nini asingetoa tamko lake tangu alipoacha siasa July 28? Kwa nini iwe sasa ambao wenzake wako kwenye kampeni? Au anataka Chadema wamwengue Lowassa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Magufuli "Polisi ueni Majambazi", imenitisha sana

    Kwa hiyo Magufuli akasema?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuhisia hapa ni wapi?

    Ni waziri wa barabara
  14. L

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuhisia hapa ni wapi?

    Kazi ya Magufuli hiyo
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    Kumbe huo mtikisiko ni hotuba ya Dr. Slaa? Heheheheheeeeee, andaeni kombora lingine, hilo limehchacha
Back
Top Bottom