Recent content by Laiswa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Hapana Mkuu
  2. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Ila huku safi sanaa hamna mambo mengi kama mikoa mingene , wale wauza vitu pia hakuna. Safi sanaa
  3. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    CP hii itakua Mkuu ni kalii
  4. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Vip bei ni kubwa ama ndogo Mkuu ?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Chuma kipo Mtwara, mwenye mawasiliano ya CP lodge please naskia ni mpya mpya nzuri
  6. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Splash traveller inn ? Hawa wapo vip nimewaona insta ?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Sawa Mkuu, tuwe serious sasa suggest yenye heshima kiasi
  8. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Mchumba tena Mkuu ?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Poa poa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Habari Wakuu, Nategemea kuwepo Mtwara mjini kwa wiki mbili kikazi. Naomba kujua lodge nzuri na safi hasa zenye internet kwa 30,000 - 40,000. Asanteni.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo mfumo wa uhakiki wiki ya nenda kwa usalama

    Wakuu mwenye ufafanuzi juu ya hili ?. Nimejaribu kwenda police kinondoni - usalama barabarani wenyewe wajibu tu simple hawajui labda niende makao makuu.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo mfumo wa uhakiki wiki ya nenda kwa usalama

    Nimejaribu kuangalia inspection report naona inaonyesha inspection date na valid until vinafanana yani inaisha siku hiyohiyo. Status pia inasoma expired. Je kuna tatizo la mfumo wa ukaguzi kutoka Jeshi la polisi au kwa wale waliolipia kuanzia mwezi January na kuendelea mfumo hautambui ?
  13. L

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji wameondoa uwezekano wa kuangalia ombi la passport kwenye website yao?

    Kuwa mpole angalia kile kirisiti ulichopewa uliambiwa urudi lini ?
  14. L

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Industrial Engineering Management ya Mzumbe University tunakosa ajira

    Kwahiyo nyie mnafanya kazi kama ipi hapo ? 1. Production manager 2. Production Enginer 3. Project manager
  15. L

    JamiiForums Tanzania Usiache kununua ardhi. Niliyojifunza Goba sikufanya makosa Madale

    Kwa budget ya mil 12 hapa Dar unapata wapi ? Isiwe njia ya Temeke na Kigamboni tu
Back
Top Bottom