Recent content by Laiser Tom

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia ya maisha yangu ilipofungwa ghafla

    Pole sana
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kituko cha mwaka: Mkurugenzi wa Mashtaka awataka Wananchi kutaja mafisadi

    Ni ajabu wamempa mmojawapo uenyekiti wa Bunge. Tutarajie nini hapo?!
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enjoy to the maximum

    Uchambuzi makini japo wenye chembe chembe ya vihatarishi!! Ungeweka onyo mwishoni kama ushauri!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tamko la Baraza la Habari Tanzania kuhusu madai ya CCM juu ya ushiriki wake katika midahalo ya Urais

    Uzuri mmoja wa uongo ni kwamba lazima ukosee kitu fulani. Wameonyesha kuwa waliwasilisha barua tarehe 13-9-2015! Kumbe ilikuwa Jumapili ambapo ofisi za MCT hazikuwa wazi. Safi sana!
  5. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Je ni nani CCM atahamia upinzani tukaridika kuwa sio fisadi? Ni nani yuko upinzani ambaye tunadhani au kuamini kuwa ni mtakatifu? TAFADHALI TUWAUNGE MKONO WOTE WANAOKUJA UPINZANI MAADAM WAMEAMUA KUACHANA NA MFUMO MWOVU.
  6. L

    JamiiForums Tanzania ‘Lowassa-mania’ na ya mpiga filimbi wa Hamelin!

    Mwenye akili ya kuelewa ataelewa. Tatizo ni kwamba kwa kiasi kikubwa tumeamua kuzipa akili zetu likizo.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakujiandaa kuwa rais, atatuangusha tu

    Kufuatia wagombea wa CCM na UKAWA kila mmoja kudai kuwa "hatatuangusha", ni vema kutumia nafasi hii kuwakumbusha (wagombea hao) kuwa tayari tulianguka siku nyingi tumelala chali. Ndio maana tumepitwa kiuchumi na hata kwa viwango vya kujiamini katika mambo mbalimbali na nchi ambazo siku za...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa asafirisha watu kutoka mikoani kuongeza idadi ya watu wakati wa kuchukua Fomu

    Uongo mkavu unaotoa vumbi!!!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kweli CCM Tunachukiwa!

    Nimeshuhudia majuzi nikisafiri kutoka Moro kwenda Arusha ambapo katika Bus la abiria 60 palikuwa na mjadala mkali sana na wachangiaji wakiongea kwa hisia kali. Kati ya abiria takriban 25 waliokuwa wakichangia/kujadiliana ni watu wawili tu walioonyesha kuipenda CCM. Waliobaki walikuwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Kikwete, itisha mkutano wa dharura tunusuru chama

    Wana- CCM wenzangu, tunanyamazia nini?! Kila kukicha watu wanahama kwa mamia kwenda kwa wapinzani wetu. Wiki hii ikipita bila kugutuka wataanza kwenda kwa maelefu, kisha malaki na hatimaye mamilioni. Mwenyekiti wetu, Sekretarieti sote tuamke tuinusuru hali. Tukiendelea kuzubaa kuna tutajikuta...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mkoa Arusha na Katibu Mwenezi wa Mkoa Wajiuzulu na kuhamia CHADEMA

    Arusha yote mwaenda upinzani, CCM imewakosea nini?! Je ni kwamba hakuna zuri lolote lililofanywa na serikali yetu tukufu ya CCM hata mmeamua kufanya uasi mkubwa hivi? Chonde chonde wajameni kama tumewakosea tusameheane, lakini mnachofanya sio (wote kwenda CHADEMA) sio sawa wala haikubaliki hata...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mkoa Arusha na Katibu Mwenezi wa Mkoa Wajiuzulu na kuhamia CHADEMA

    Wana CCM Arusha angalieni chama chetu jamani. Sasa kama wote tutakwenda UKAWA hamuoni kuwa upinzani utakosekana kabisa Arusha na hivyo kuzorotesha maendeleo? Fanyeni angalau kata tatu au nne zichague wana-CCM ili CHADEMA wapate upinzani. Kasi yenu ya kuhamia upinzani (chama tawala kijacho)...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tathmini inaonyesha UKAWA itashinda Urais

    Naam, mabadiliko makubwa ya kimfumo yanaijia Tanzania. Tuombe MUNGU yatokee na kusonga mbele kwa amani. Tukumbuke Tanzania kwanza na memngine baadaye.
  14. L

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Sio kanda ya ziwa tu. hata hapa Morogoro hakuna umeme. Ajabu
  15. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa Sema Sasa au Nyamaza Milele!

    Asante kwa comment murua
Back
Top Bottom