rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,419
Hawa watu wamejaa dharau zilizopitiliza,nimeona kwenye taarifa ya Habari huyo mkurugenzi akiwasihi watanzania kutaja mafisadi.
Ni kama mchezo wa kuigiza,hivi wao na nguvu zote walizo nazo na uwezo wote wanashindwa kuwajua mafisadi?Wanataka tutaje mafisadi ili tuuwawe na wao wabaki?
Nani atathubutu kufanya ujinga kama huo? Hii nchi mbona inaendeshwa kienyeji hivyo?Wao wanashindwa kuwajua mafisadi na wanaishi miongoni mwao? Eti wanatushirikisha sisi?
Watanzania wenzangu kataeni ujinga huu wa hatari kabisa,ukijifanya kutaja fisadi maisha yako na familiya yako yatakuwa hatarini,tukae kimya tuone mwisho was haya maigizo.