Recent content by lahu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyeruhusu wanafunzi wa sekondari kuvaa hijabu alijua madhara yake?

    Mkuu Majoho ya kipadre wavae wanafunzi? waislam wanavaa kwa sababu ni mavazi yao ya kila Sikh, sasa mwanafunzi na nguo za kipadri wapi na wapi.nijuacho mimi kila mtu ametendewa haki kwani nguo wanazovaa hata makanisan ni hizohizo siyo kwamba wakiwa kanisan wanavaa majoho( huwa ni special cases...
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa langu mimi liko wapi?

    Hamna tatizo mkuu kumradhi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa langu mimi liko wapi?

    Huu mwandiko kama nakufahamu vile Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    JamiiForums Tanzania Elimu sio Siasa, Nyuma ya pazia Sekondari ya Mt. Francis Mbeya

    5000 ya kipindi hicho ilikuwa kubwa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

    Mkuu we ni me au ke kama ni ke sometimes kunakuwa na kaupendeleo ila inategemea na ufaulu wa mwaka husika Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

    Kwanza haiwezekan mtu kuwa na A tatu uwe na four hata mtoa mada hana four Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi wake za watu vyuoni wanavyomegwa na wanafunzi

    Hii ni chai haiwezekan mwaka 2016 alikuwa chuo sjui mwaka wa ngapi akiwa na mtoto mmoja na sasa ana watoto watatu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi juu ya kuoa mtoto wa shangazi/baba mdogo.....

    Siyo kweli mkuu mtoto wa baba mdogo baba mkubwa , mtoto wa baba kwa mama mwingine siyo ruksa labda watoto wa shangazi na mjomba huko jiachie Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ni Mwanamke Hatari sana kuishi naye nyumba moja kama mke

    Dah! Ulidate na wanawake wachache tu zaidi ya 200 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ayajue haya akiwa ndani ya ndoa

    Duuh! Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaisahau Tabora

    Ighanuda taun kabisa hapo hata SAA mbili ya usiku unaenda city Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaisahau Tabora

    Mmh! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom