Recent content by lafionaposh

  1. lafionaposh

    Nahisi nina mkosi au nina tatizo la ziada kwenye mapenzi hata sijielewi nimechanganyikiwa

    Kuna wanaume weng wa aina yako nmewah kuwaona yan unamwangalia iv ana kila kitu lakn haoi tuuu..lakn tabia ya kutanguliza pesa sana ktk mahusiano c nzur mwanamke atawaza km uyu ananipa pesa iv labda pesa ndo silaha yake so akimtaka mwanamke yeyote atampata hapo hapo anajenga woga juu yako..mpe...
  2. lafionaposh

    Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

    Mm wasukuma na wakurya jmn nawaelewa mnoo kwa kifupi watu wa kanda ya ziwa wana jua kupenda ukiacha kua wana wivu sana
  3. lafionaposh

    Neno lolote kwa ex wako

    Akajambe uchagani uko
  4. lafionaposh

    Ushauri: Mwanaume hapendi kunisaidia

    Usizae shoga angu
  5. lafionaposh

    Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    Sana mkuu toka apo nawachukia wachaga akija tu namwambia sore kwetu mwiko mchaga ....
  6. lafionaposh

    Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    Alivonambia maishan mwangu sikuwah kufikiria kuoa mwanamke mkinga, mm ni lazima nioe mchaga mwenzangu so nadhan huu ndo mwsho
  7. lafionaposh

    Baadhi ya wanawake wanadanganya wamefika kileleni

    Bora wew uliejua wanafake kuliko wale wanaume wa kujisifia nmemkojoza mara 7 aisee cdhan ata km kisayansi inawezekana mwanamke kupii mara 7
  8. lafionaposh

    Nimepatwa jamani, naombeni ushauri wa kunitia moyo.

    Umuhim wa spear tyle ndo unaonekanaga hapa sasa 27 ad upate mwanaume mwngne mdate mje kuoana ushafka 30..alafu ur too innocent na hii dunia ya mapenz ilivo innocent people ndo wanaongoza kwa kulia
  9. lafionaposh

    Shikamoo Kamikaze

    Cyo mweupe uyo kaka n choclate flan iv amazing
  10. lafionaposh

    Shikamoo Kamikaze

    Kwan ss wasanii cyo binadam?
  11. lafionaposh

    Shikamoo Kamikaze

    Na ana dinda vzr tu
  12. lafionaposh

    Faida 10 za kupiga punyeto!!

    Duh jmn n juz tu nlikua na boyfrnd kwa miaka mi3 juz tukaenda kukutana tena hotel ya kifahar lakn nashangaa mwenzangu haikusimama kbsa nmefanya kla niwezalo but haikusimama jmn nlishangaa maajabu ya dunia kiukweli nimemuacha mm.
  13. lafionaposh

    Niliumizwa sana nashindwa kusahau

    Sasa mnavosema alee mtt aachane na wanaume haja za kimwl anaztuliza vp
  14. lafionaposh

    Hivi ni kweli kina dada mnakuaga na true love kwa mume wa mtu?

    N kweli kbsa unampenda na unapata tabu juu yake na ndio mana kuna mwngne anaolewa mke wa 2 mpk wa 4 n true love...mana mume wa mtu nae bnadam,unaeza umpende hata km hana pesa
  15. lafionaposh

    Yamenikuta leo, wanawake usiwaambie jambo lolote hata kama ni baya

    Hahahhha nimecheka sn.. Nmekumbuka mm nlivokua nachat na rafk wa boyfrnd wangu akanipa siri kua boyfrnd wng kamtongoza rafk angu ila nisiulize ktu na msg nyingne kbao...af cku nikalewa bf wng akasoma msg zote kwa cm yangu...aliniacha home kamfata bar rafk ake acha amchane kua ana tabia za kikee...
Back
Top Bottom