Atakuwa anawapenda sna wa kuuzia suraWewe kilichokuvutia nini hasa kwenye hiyo reception ya mbele
Siku ukiambiwa anapuliwa mabegani utashika mdomo!Kwani huaga ina makombo?![]()
Tatizo wanasema kuwa ile sio sabuni hata iishe ama ipungue ikitumika....Unapamba ukaliwe naye, utachoka ukiambiwa wenzio wameisha mtafuna..!![]()
![]()
Hahahaaaa umenichekesha mkuu.Unapamba ukaliwe naye, utachoka ukiambiwa wenzio wameisha mtafuna..!![]()
![]()
Na ana dinda vzr tuHivi kumbe huyu nae ni dume,duuuu!!
Kwan ss wasanii cyo binadam?Mademu wa kushobokea wasanii nawadharau sana.