Habari wana JamiiForums.
Nimekuja mbele yenu kuzungumza na wale wenye tatizo la tumbo kuunguruma, Mimi ni moja wenu na tatizo hili limenisumbua kwa muda sasa lakini hivi karibuni nimepata nafuu kwa kiasi kikubwa.
Mwanzo kabisa sikumbuki tatizo la tumbo kuunguruma lilinianzaje, sijui chanzo...
watoto wa siku izi mnadanganywa sana na izi mamitandao.... vi short clip vya kipumbavu vinawajaza upepo na kujiona mmechelewa sana...
Sasa miaka 24 ni ya mtu kucomplain na kutaka kujiua aisee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.