Naomba ushauri wako, mimi nina miaka 37, naweza kusema kuwa sijaoa, lakini nilikua naishi na mwanamke ambaye ni kama mke wangu kwa miaka 10, hatukuwahi kufunga ndoa na nilikua sijawahi kukanyaga kwao. Kila wakati nilikua nasema kuwa nitaenda nitaenda lakini mambo yanabana. Mwaka jana tuligombana...