Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
Habari zenu wapendwa wa Jf, heri ya mwaka mpya 2020
Naombeni mawazo yenu hapa
Un mwanaume ambaye yupo vizuri sana 6*6 yani ukikutana naye unahisi dunia ni ya kwako ("kwa kifupi mwanaume anayeyajua mapenzi na kuyamudu) Una mpenda na una hisia naye sana, yani ni ile ukimuona tu hata ajakugusa wewe unatetemeka.
Ila mbahili sana pamoja na kuwa na kazi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23], hakuhudumii kwa maana ya hata vipesa vya kusuka, tu powder na mafuta siku moja moja, hakutowi out yani kwa kifupi ni mbahili.
Au mwanaume ambaye humfili yani humpendi sana hakuvutiii sana wala huna hisia naye kihivyo , ila akiwa na hela (anapambana tu mtaani hana ajira rasmi) ata jitahidi kukutoa out, atakuletea zawadi, atakuletea mahitaji mpaka ya nyumbani kwako
Ila ndo hivyo sasa mizuka naye ipo very down una ng'an'ana na bahili wako.
Hii ishu imemtokea staff mwenzangu yupo njia panda wote wapo tayari kumuoa ila sifa zao ndo hizo, Anataka afanye maamuzi sasa ili kati ya hawa wawili apatikane mchumba rasmi ananiuliza ngekuwa mimi ningefanyaje?
Hebu tumsaidie ndugu yetu huyu???
Sent using Jamii Forums mobile app