Mwanaume yupi anafaa?

Mwanaume yupi anafaa?

nakushauri umpende anaekuhudumia mkuu coz yule mwingine silaha yake ni sex tu...
najua unampuuza anaekuhudumia ajili ya mgegedo wa huyo jamaa bt tambua hisia za matamanio ndo huleta majuto badae, ufunze moyo wako kumthamini anaekujali maana upendo ni zaidi ya sex
 
HAPO TATIZO LILIANZA PALE ALIPOKUBALI KUA NA MAHUSIANO NA WATU WAWILI TOFAUTI.
ANGEKUA NA MMOJA ASINGEGUNDUA MADHAIFU YA MWINGINE, ILA KAMA ATAKUBALI KUKUNWA VIZURI ALAFU ANALALA NA NJAA SIJUI KAMA ATARIDHIKA NI BORA KUA NA MWENYE KIPATO MAISHA YAENDELEE SABABU HUYO ANAEJUA KUKUNA AKIKUTANA NA MWANAMKE MWENYE FEDHA AKAMKUNA VIZURI ANAWEZA PIA KUMKIMBIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudia kusoma mwenye kujua mapenzi ana kazi na ana pesa ila mbahili, mwenye hapendwi hana kazi anaunga unga tu mtaani ila akipata ndo anamhudumia huyu mdada

Kwa hiyo ukifananisha vipato huyu mbahili ndo ana unafuu wa maisha
HAPO TATIZO LILIANZA PALE ALIPOKUBALI KUA NA MAHUSIANO NA WATU WAWILI TOFAUTI.
ANGEKUA NA MMOJA ASINGEGUNDUA MADHAIFU YA MWINGINE, ILA KAMA ATAKUBALI KUKUNWA VIZURI ALAFU ANALALA NA NJAA SIJUI KAMA ATARIDHIKA NI BORA KUA NA MWENYE KIPATO MAISHA YAENDELEE SABABU HUYO ANAEJUA KUKUNA AKIKUTANA NA MWANAMKE MWENYE FEDHA AKAMKUNA VIZURI ANAWEZA PIA KUMKIMBIA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni happyness over prosperity.
Lakini kuna mtu atakuambia bora uende ukalie ndani ya bmw kuliko furaha kwenye kibanda umiza
Kwa haraka haraka ni sawa kabsa unaweza sema bora kwenda kwenye hela au dudu.
Bt akumbuke mkioana sio mda wote mtashinda kitandani au shopping.
Kuna mengi zaidi ya hayo, unaweza kua na hela na ukawa mpeke au dudu unapata vzuri ila ndo unapauka[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapendwa wa Jf, heri ya mwaka mpya 2020

Naombeni mawazo yenu hapa

Un mwanaume ambaye yupo vizuri sana 6*6 yani ukikutana naye unahisi dunia ni ya kwako ("kwa kifupi mwanaume anayeyajua mapenzi na kuyamudu) Una mpenda na una hisia naye sana, yani ni ile ukimuona tu hata ajakugusa wewe unatetemeka.

Ila mbahili sana pamoja na kuwa na kazi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23], hakuhudumii kwa maana ya hata vipesa vya kusuka, tu powder na mafuta siku moja moja, hakutowi out yani kwa kifupi ni mbahili.

Au mwanaume ambaye humfili yani humpendi sana hakuvutiii sana wala huna hisia naye kihivyo , ila akiwa na hela (anapambana tu mtaani hana ajira rasmi) ata jitahidi kukutoa out, atakuletea zawadi, atakuletea mahitaji mpaka ya nyumbani kwako
Ila ndo hivyo sasa mizuka naye ipo very down una ng'an'ana na bahili wako.

Hii ishu imemtokea staff mwenzangu yupo njia panda wote wapo tayari kumuoa ila sifa zao ndo hizo, Anataka afanye maamuzi sasa ili kati ya hawa wawili apatikane mchumba rasmi ananiuliza ngekuwa mimi ningefanyaje?

Hebu tumsaidie ndugu yetu huyu???


Sent using Jamii Forums mobile app
Una miaka mingapi hadi hujui mapenzi? Tatizo la wanawake/ wasichana wa kitanzania wanawaza mapenzi ni pesa. He huyo ambaye humfeel siku akianza kukunyima pesa au akiishiwa utafanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom