Recent content by lady cassandra

  1. L

    JamiiForums Kusini-The i solated part of the country.,the essence of Machinga...!

    Tunapolizungumza suala la kusini na matokeo ya vurugu hizi ni lazima tulizungumze katika fikra pana zaidi.,kwa namna ya matokeo yanavyotokea naliona tatizo la kusini ni zaidi ya bomba la gesi,.naliona kuwa ni hasira za watu hao ambao zilikuwa zimezikwa kwa muda mrefu.,naona kuwa ni mlango...
  2. L

    JamiiForums TZ-the failed state; jamii inatapika sumu iliyolishwa miaka 50 ya Uhuru.

    labda kwa kuwa kila kitu kiko hoi basi kila kitu ni kipaumbele...!
  3. L

    JamiiForums TZ-the failed state; jamii inatapika sumu iliyolishwa miaka 50 ya Uhuru.

    Matukio ya vurugu na msuguano mkubwa unaondelea hivi sasa kati ya raia na wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi kama vile morogoro, mtwara, dar n.k ni ishara kuwa sasa nchi inatapika.,jamii inatapika chakula cha sumu ambacho ililishwa takriban miaka 50 iliyopita, ambapo sumu hii imeendelea...
  4. L

    JamiiForums Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

    Chadema haitofika kokote mkuu..ccm inawajua nje ndani hawezi furukuta...2015 utaona watakavyo sambaratika..
  5. L

    JamiiForums Nape, ukiyaona haya unaweza kuanza kuwa kiongozi

    Vp kwa wasio amini Mungu Mkuu?
  6. L

    JamiiForums Nape, ukiyaona haya unaweza kuanza kuwa kiongozi

    Huku sasa nikukosa chakufanya...ivi kwanini hamuishi kumzungumzia Nape humu jamvini?...kila kukicha mara oh Nape hamia Chadema,,mara ohh Nape wewe ndio mzalendo uliyebakia ccm,,mara oohh Nape huwezi kuibadili ccm...kweli kipele kimepata mkunaji....
  7. L

    JamiiForums Selasini akanusha uzushi uliosambazwa

    Ukiona hivyo ujue ata wadau wa JF kama 30 wamechoshwa na uzushi wa humu ndani...
  8. L

    JamiiForums Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Au labda ni Mkiti wa Ukoo wao huyu jamaa aliyepost hii thread...
  9. L

    JamiiForums Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Nape ni sawa na wanachama laki moja wa Chadema...
  10. L

    JamiiForums Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Namsikitikia sana...hivi hajui kama Tabora haipo kwenye ule ukanda wa NPR...!!!imekula kwake!!!!
  11. L

    JamiiForums Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Watu wenye mawazo kama yako huwa hawafanikiwi maishani mwao....!!!!
  12. L

    JamiiForums Selasini akanusha uzushi uliosambazwa

    JF is abt to crushhhhh....
  13. L

    JamiiForums Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

    Namsikitikia sana...hivi hajui kama Tabora haipo kwenye ule ukanda wa NPR...!!!imekula kwake!!!!
  14. L

    JamiiForums Selasini akanusha uzushi uliosambazwa

    From great thinkers to great lossers...enyi mnaojiita ma mode jf itawafia mikononi mwenu..hata huyu mwenzenu anawalalamikia...!!!!
  15. L

    JamiiForums Maige amwita Nape 'Gamba', Nape amjibu...

    Well said... Actually this story has been cooked by one npr fool...nape will alwayz be one among strongest leaders ccm have ever had...
Back
Top Bottom