Nape, ukiyaona haya unaweza kuanza kuwa kiongozi

Sioni kama kuna haja ya kumzungumzia huyu jamaa
unajua ukiangaika na chizi na wewe utakua chizi
Napita.....
 
binafsi sina chama cha siasa naongozwa na jinzi gani tuondokane na umaskini japo ccm siwapendi lakin huyu jamaa anawafaa tabu yao hawataki kubadilika na uwezo wao wa kufanya kazi ni mdogo kwa ajili ya umri, hivyo ndo maana dogo anaona bora afanye mwenyewe
mbay zaidi wamekaa kwa kumuungalia kwa mabaya mazuri yao mbona hawayasemi na bado watakoma!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom