Selasini akanusha uzushi uliosambazwa

Jamaa kaamua kuzushia wenzake vifo kasahau kuwa na yeye ni marehemu mtarajiwa...pole sana Mbunge Selasini, huyu ni muhuni tu alioleta huu ujinga hana uhusiano wowote JF...usirudie tena kuponda JF wape pole wagonjwa.


Ameniudhi sana eti habari kaisoma jf halafu kaenda kuiponda jf kwa fb. Upuuzi ulioje!
 
Tuache makeke! Katika Hali ya kawaida baada ya matatizo yote maumivu ya ajali, kumpoteza mama, mke na baba hospitalini, na Ndugu wakaribu wamepoteza maisha, kweli hata Kama Mbunge Selasini angenitukana vipi, nisingejali, ni mfadhaiko aw mawazo, naomba tumsamehe, kwa chati kabisa hakutukana kutosha moyoni!

Pole Selasini, sala zetu tunaziweka kwa maombezi yake na familia
 
it is very possible
hii ni social media ina uwezo tofauti na facebook au netlog
post zinazoletwa kwa dakika au kwa saa sio nyingi kupitia jukwaa moja moja
kwa wenzetu wanafanya sana hii kitu ili kuepuka kufunguliwa kesi za defamation
kwa Tanzania tunaona sawa tu kwa vile bado hawajazinduka
hebu google hizi kesi MAMSNET CASE, STRATTON vs PRODIGY nk
editorial work inatakiwa kwa site kama yetu na ni muhimu sana kama tunataka idumu siku zote.
kwa sababu haiko exempted na any liability caused by its registered users.
kuna cluase hapo chini inasema moderators wa hii site ni kina nani so they have to bare the responsibility

Mkuu naona unaongeza gharama zisizo na msingi wewe member 10's thousands utawaocontrol vipi, pia utaondoa ile nadharia ya real-time, nafikili kuna haja ya member kufahamishwa matumizi ya kitufe "report abuse" si tu kwa maneno machafu hata kwa taarifa nyeti zitakapopostiwa ili ziweze kuthibitishwa, kwa kutumia mtindo huu ni sisi member ndio tutarahisisha zoezi kuliko wao kupitia kila post kabla ya kuiruhusu.
 
mkuu Ruhazwe umenena vema....kukujulisha tu kamanda wetu Selasini...kuna tofauti ya blog na forum....zaidi ya yote....niwatakie wagonjwa afya njema.....

Ni kweli mkuu Preta,lakini nadhani ipo haja ya kumsamehe mkuu wetu kwani yupo kwenye hardtime ukilinganisha na uzito wa taarifa iliyokuwa imetolewa.cha msingi hii ninafasi yake ya kuwa kwenye maombi tena kuwaombea na wote wanaomtakia matatizo wa dumu ili waone mhe, anavyodunda na ndugu zake.NAKUPA POLE SANA TENA SANA,NAJUA NIJINSI GANI UNAUMIA
 
Pole sana kwa msiba aw mama yetu. Kweli ni Jambo la kusifiwa sana kwa manado aw Watu wanaojiita great thinkers kuandika uongo na uzushi, na kuwataka Watu wote waamini uongo na uzushi wao. Hapo ndipo nchi yetu imefika kwamba hata gazeti linaandika uongo na kusambaza na hata likiambiwa linaendelea kuandika uongo mpya, kwa vile huo sasa ndiyo utamaduni. Wa taifa. Pole sana.
 
Pole sana mheshimiwa!Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu,kumbuka pia kuwa anything happen for a reason,naamini Mungu ni mwaminifu na atakuponyesha na makovu yote,mh pia ningependa kuku -kumbusha kuwa kila mtu anakutazama kwa jicho lake mwenyewe,na Jf sio jicho wala mdomo wa wote!kumbuka pia wengi wamewahi kuzushiwa vifo vyao wenyewe hukuhuku kwenye social forums,ila hekima ilibainisha kilicho kiovu,ningetegemea kukuskia ukimkemea mleta taarifa,na siyo karatasi aliyoitumia kuandika taarifa hiyo potofu,mkuu hapa ni kama unagombana na barua,badala ya kugombana na aliyeiandika.
 
Nafikili kuna haja ya kubadilisha mifumo ya kujisajili ili kuidentify watu na hatua za kisheria ziwe zinachukuliwa kwa watu wanaosambaza uzushi kama huu.

Pole sana mh.

NAUNGANA NAWÈ 100% KIUKWELI UZUSHI UMEZIDI HAPA JF.Watu kibao wamekuwa wakilalamika kuhusu hili mfano mmoja tu ni Diva wa clouds fm na wengine wengi.Jf 2naitegemea kwa habari nyingi sana lakini mi sisupport UZUSHI. Kuna haja ya kufanya mabadiliko haya.
Pole Selasini.Mungu awe nawe.

OVER.
 
it is very possible
hii ni social media ina uwezo tofauti na facebook au netlog
post zinazoletwa kwa dakika au kwa saa sio nyingi kupitia jukwaa moja moja
kwa wenzetu wanafanya sana hii kitu ili kuepuka kufunguliwa kesi za defamation
kwa Tanzania tunaona sawa tu kwa vile bado hawajazinduka
hebu google hizi kesi MAMSNET CASE, STRATTON vs PRODIGY nk
editorial work inatakiwa kwa site kama yetu na ni muhimu sana kama tunataka idumu siku zote.
kwa sababu haiko exempted na any liability caused by its registered users.
kuna cluase hapo chini inasema moderators wa hii site ni kina nani so they have to bare the responsibility

Well said mkuu...na pia nafikiri angalizo alilotoa Mh Selasini ni sahihi kabisa,ile maana halisi ya JF kama ni home kwa great thinkers kunapunguzwa na baadhi ya wahuni wanaogeuza forum kama vile ni forum ya watu fulani wasiojua mbele wala nyuma,siku za nyuma JF haikua na vitu vya ajabu kama hv,kuna baadhi ya watu wamevamia na kuharibu kabisa utaratibu
 
Pole sana Mheshimiwa 30 kwa yote yaliyotokea. Mimi ni miongon mwa wengi tuliopitia hiyo thread, lakini kwa sababu ni great thinker sikuweza kureply. Umetusikitisha sana KAMANDA kwa kuiponda Forum yetu kwa kosa la mtu mmoja! Tunakuomba nawewe uanze kuwa GREAT THINKER kwamba thread hiyo haikutolewa na JF users wote. Nami nakuambia, kama hujajisajili fanya hima unakosa UHONDO, na si kupiga chabo. OVA!!
 
Nafikili kuna haja ya kubadilisha mifumo ya kujisajili ili kuidentify watu na hatua za kisheria ziwe zinachukuliwa kwa watu wanaosambaza uzushi kama huu.

Pole sana mh.

JF imeingiliwa na kundi la wahuni waliokosa hoja na kuanza kuanzisha vihoja. Lengo lao hasa ni kutaka mapendekezo kama yako yawe implemented na hivyo kuwa siyo JF tena. Kibaya zaidi Selasini ameonesha kutokutambua JF jinsi inavyofanya kazi, angekuwa anajua asingelaumu mtandao bali angelaumu muanzilishi wa thread. Mengi sana yamezushwa JF na kufutwa pale yalipoonekana ni uzushi. Delasini anapaswa kuwa rafiki wa JF na si kuingia kundi la kina Msekwa.
 
From great thinkers to great lossers...enyi mnaojiita ma mode jf itawafia mikononi mwenu..hata huyu mwenzenu anawalalamikia...!!!!
 
mzushi huyu aloleta thread hata mm kanikera sana nilinataka ku'report abuse kwa mods bahati nzuri imeshaondolewa, ila huyu selasini kaniudhi kuiponda JF ilihali hata huko FB angeweza kujitokeza mhuni yeyote na kuanzisha thread kama hiyo, pia nimeshangazwa na yeye kutembelea hapa JF na bado kashindwa kukanusha huo uzushi kwenye thread husika, sijui ana chuki na JF?

Mkuu Zumbe umenena vema sana......

Angekanusha tu hapa hapa, hata kwa ID nyingine kujifanya mwanandugu au kitu kama hicho....

Ndio hivyo, JF inaogopwa sana!!
 
mzushi huyu aloleta thread hata mm kanikera sana nilinataka ku'report abuse kwa mods bahati nzuri imeshaondolewa, ila huyu selasini kaniudhi kuiponda JF ilihali hata huko FB angeweza kujitokeza mhuni yeyote na kuanzisha thread kama hiyo, pia nimeshangazwa na yeye kutembelea hapa JF na bado kashindwa kukanusha huo uzushi kwenye thread husika, sijui ana chuki na JF?

Invisible jembe la ukweli ndani ya dakika 5 aliweka ajali ya mh 30.
 
Kuna mhuni kaja hapa atakuwa ni magamba huyu na kusambaza eti baba yake Selasini katutoka ..Selasin mwenyewe kajibu hivi.

ndio kaiponda JF inawezekana hajui maana ya forums ....

Mkuu pole sana si unajua wapo wengi wanayotumia hii kitu, wasamehe wakati huu wa majonzi watakutia simanzi kama utawajali watakuongea maumifu.
 
Mzee kaua mbaya yaani kuja kukanusha ameona ishu sana.Poa mzee lakini ungejua umuhimu wa JF usingeiponda hivi manake wapiga kura wako na washabiki wa chama chako wapo kibao huku.We ulichotakiwa kufanya ni kuja hapa na kukanusha simple as that.Mimi sijapenda wala nini nimekwisha kuwekea donge tayari hadi ulitoe sijui
 
Nadhani huyu mbunge ni mpumbavu tu. Inabidi atutake radhi. Hapa siyo kijiwe chenye binokula ya kuona kila anayepost. Hapa ni kwa wajenga hoja. Kaniudhi sana huyu jamaa. Ana upeo kama wa mbuzi. Hii siyo Tanzania Daima, hii ni forums.
 
Kama ingelikuwa wanaotoa malalamiko juu ya JF wangesoma hii...
JF DISCLAIMER: JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users
...kusingekuwa na sababu za kimsingi na kisheria za kuisakama. Na kama kuna yeyote anayekwazika, kutapeliwa, kutukanwa na madhara yoyote yatokanayo na matumizi mabaya ya JF, mtumiaji binafsi ndiye dhamana wa matendo yake na sio JF kama JF.
 
Wana jf uliwekwa uzi wa kwanza hapa nikamuomba mod autoe baada ya kwenda fb na kukuta mh selasini ameweka ujumbe wa kuwashukuru watu walioudhuria mazshi ya mama yake ,modi wakautoa shukrani azikupita dakika 20 akaja mtu mwingne akauweka ule uzi nikareport tena na ndio nikamvutia wire mh 30 kutaka kudhibitisha na yeye akakanusha.jf kunawatu wanapenda kuwa wa kwanza kuweka uzi awajali ni tetesi au ni habari kamili.
 
Back
Top Bottom