Huu ndio ukweli usiotakiwa kufumbiwa macho. Pamoja na kasoro nyingine za kimfumo kama vile uboreshwaji wa daftari la wapiga kura , matumizi mabaya ya vyombo vya dola lakini cdm ili muweze kujiimarisha zaidi na hatimaye muwe mbadala wa ccm 2015 maoni haya ya Benaire ni ya kufanyia kazi. Good...
Swala la kupokea halina shida maana ndio siasa yenyewe lakini CDM wanapaswa kuwa makini sana isije kutokea kama yaliyoikuta NCCR miaka 1995 kuingia 2000.VIVA CDM!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.