Recent content by La-Ranger

  1. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

    Acha kbx mita 200 mamilion
  2. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

    Baada ya kuripotiwa na chanzo kimoja cha habar uko Dodoma. Kwamba baada ya waziri mkuu kutembea mita mia200 kwa miguu ime save mamilioni ya shilingi. Binafsi hii ni propaganda tu gharama zmeokolewa kwel but sio kwa kiwango hicho
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

    Salami wana jamvi nimesikitika Sana kuona kilicho WA kuta viongozi wa chadema waliokua kwenye kongaamano LA katiba mpya kukamatwaa nakutiwa mbaroni na maafisa wapolisi mkoani mwanza tuna laani kitendo hicho kwani ni kitendo cha ovyoo na cha ajabuu Sana kutokea wakati huuu ambayo nchi inahitaji...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Daaaah........Aya bwana kwhyo hakuna njia nyngne ya mtu kutoka chuo na kwenda kujiunga na jwtz au migration
  5. L

    JamiiForums Tanzania Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Iyo Bs.in military science kinatolewa chuo Cha kijeshi tu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

    Hahahah Wana wa udom bwana🤣🤣
  7. L

    JamiiForums Tanzania Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Siogopi kusoma kaka Ila naona Kama vile future iko uko
  8. L

    JamiiForums Tanzania Unawezaje Kuhama chuo kikuu fulani kwenda kingine baada semester?

    Habarini za muda Wana jamvii Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu. Nilikua nahitaji msaada wa mtu anawezaje Kuhama chuo kikuu Fulani kwenda Fulani baada ya semester moja au baada ya kumaliza mwaka wa kwanza wakatii anaenda ya pili afanye transfer. Kama iko naombeni msaada maana SuA...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

    Hahahahaha.....ety Kama VETA
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu unaotolewa SUA, UDOM na UDSM

    Kweli...ila naonaga Kama Kuna tofauti za Environmental science za SUA na za Ardhi au hi imekaaje kwani??maana naona za Ardhi ziko mathematical sana
Back
Top Bottom