Recent content by Kyusi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kampuni ya Bombardier yafilisika rasmi, sijui spea tutapata wapi?!

    Weka ushahidi wa ujumbe wako
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kamati ya maadili ya bunge inaweza pingana na msimamo wa spika?

    Kipaza sauti anatulazimisha tuamini kuna jambo Masele kafanya lenye madhara kwa nchi, hv angekaa kimya nn kingetokea?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

    Tufuate kauli ya Mchungaji wa Kanisa aliyesema akipatikana si ushindi wa chama chake wala si kushindwa kwa chama fulani bali ni ushindi kwa amani yetu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ndaga, Malafyale Magufuli

    Kila Jambo na wakati wake si Kila yanayofanyika sasa yameanza Sasa michakato ya barabara inachukua muda mrefu kwani hata mabasi ya mwendo Kasi licha ya kuanza kazi awamu hii michakato ilianza tangu enzi ya Mwinyi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya gazeti la Tanzanite: Mbunge wa Tunduma, Mh Mwakajoka atikisa Bunge, Spika Ndugai aingilia kati

    Gharama ya kushtaki na kuendesha kesi dhidi ya gazeti sijui ni kiasi gani?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rungwe tuna wabunge bubu!

    Unasema mtu asafiri kwa bodaboda km 33, mbona ni mateso? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rungwe tuna wabunge bubu!

    Uchaguzi ukiwa huru na wa haki wafyekelewe mbali ila watu wanapohisi kura zao zinapotea hawaendi kupiga kura matokeo yake wanapita wasiohitajika Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Shukrani, ahsante kwa maelezo yako. Parachichi ni aina ya Hass kwani ndizo anazohitaji mwekezaji Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Kilimo cha maparachichi ni moja ya miradi bora wilaya ya Rungwe na sehemu zingine, wadau naomba kujua umbali unaofaa kati ya mche na mche.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Shamba la chumvi

    Nenda Kilwa kuna majangwa ya chumvi mengi na mazuri, ila mtaji wa kuanzisha shamba la chumvi ni mkubwa kidogo lkn inalipa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kazi na Bata ( Work and Live ) — what do we mean?

    Not work and live but work to live while hapa kazi tu means live to work
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Miche ya kisasa ya miembe na michungwa Temeke

    Anayejua inapouzwa Miche ya kisasa ya miembe na michungwa anijuze mahali ilipo ndani ya manispaa ya Temeke
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hassan Ngoma amponda Bulaya kuhusu kupeleka mswada binafsi bungeni.....auliza alikuwa wapi wakati sheria inapitishwa?

    Asikilize mchango was aliyekuwa Mbunge wa Buyungu, marehemu Kasuku
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hassan Ngoma amponda Bulaya kuhusu kupeleka mswada binafsi bungeni.....auliza alikuwa wapi wakati sheria inapitishwa?

    Huyo Ngoma ni mbumbu kwa sababu asilimia hiyo haijatokana na sheria iliyopitishwa bungeni bali ni kanuni iliyotungwa na serikali baada ya sheria kupita
  15. K

    JamiiForums Tanzania Asante Magufuli, sasa umetukumbuka Rungwe, Mbeya

    Sugu anahusikaje? Hata kama lingekuwa Jimbo lake si ndo angefurahi kuwa wananchi wanapata maendeleo? Nani kakwambie Sugu ni mpinga maendeleo
Back
Top Bottom