Recent content by Kyommer

  1. K

    Mkurugenzi wa Mji wa Mbulu mwalimu huyu hatakuacha salama

    Ukisoma between lines,utagundua makosa mengi. Na ukitafakari kwa kina utagundua kuwa ni uongo na husda. Kwa mfano umesema tareh.03/09 alikuwa mahakamani kutetea kesi ya mwanae,aliyetenda kosa la jinai tareh18/09. Sasa inakuwaje unaenda mahakamani kutetea kosa ambalo halijatendwa? Acha kudanganya...
  2. K

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Jamani nahitaji kufanya hiki kitu. Nakupataje? Namba yangu ya simu hii hapa 0787-786962. Let me be your student if you don't mind my friend
  3. K

    TBC TV: Yashindwa kuonesha ziara ya Magufuli Mboga Bagamoyo uzinduzi wa kiwanda

    Mambo ya live yalushakataliwa. Watu wafanye kazi
  4. K

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Add me in WhatsApp group pls. This is my number 0787786962
  5. K

    Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Lisu sio wakulaumiwa hata kidogo. Walaumiwe waliosaini mikataba kwa hati ya dhalula na kupitishwa bungeni kwa vifijo.
  6. K

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nashukuru sana kwa elimu nzuri sana. Naomba niwemo kwenye list yako ya watu 300. Dola 100 mpaka 300 za kuanzia zipo. Naomba tupate mawasiliano yako ili tukupate kiurahisi.
  7. K

    Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    Nimeshangazwa kuona serikali imejenga soko maeneo ya Bunju B ( Sokoni), vibanda vipo tu bila ya kuwa na wamiliki, ili hali watu wanapanga vitu vyao pembezoni mwa barabara. Usumbufu unakuwa ni mwingi kwa watembea kwa miguu na ata watumiaji wa magari. Kwanini hawa watu watusumbue wakati soko...
  8. K

    Juma Nkamia: Mnataka muonekane kwenye TV watu wazima kwani mnatafuta wachumba?

    Unakuwaje Unakuwaje mwandishi wa habari na hujui umuhimu wa habari kwa wananchi? Kuchangia kwenyewe kachangia pumba, si bora muda wake angewapa wabunge wengine wachangie kuliko kuongea upupu.
  9. K

    Contractionary monetary policy practiced by Magufuli

    In reality these tools do not work in developing countries like Tz. They are just theories. Thats why when you apply contractionary policy as one way of reducing money circulation, it results into unemployment, economic stagnation etc. The same applies to expansionary policy especially in...
  10. K

    Vyuo Vikuu visivyo na sifa kufutwa!

    Pia naomba akafanye uchunguzi wa madoctor wanaosupervise wanafunzi ngazi ya masterz na phd maana wanalali dissertations za wanafunzi mpaka watoe rushwa mbalimbali ili waweze kuwatoa. Kama mtu huna uwezo wa kutoa rushwa ndo unatoswa tu.
  11. K

    Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Anastahilk maana ameokoa roho nyingi ambazo ccm walishajipanga kuzitoa kama matokeo yasingelikubalika, kama kuongeza magar ya washa washa, askari kutapakaa kila mahali plus vitisho vya hapa na pale. Hongera edo.
  12. K

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Wafanyakazi walimuita mbunge wao kwa kuwa ndo waliomchagua, na sio dc mteuliwa ambaye anafanyakazi kuwaridhisha waliomteua. Kwaio ujio wake dc, haukuwa na maana yoyote kwan kubenea na manejiment walishafikia mhafaka. Naona ni ubabe na kujipendekeza tu kwa dc.
  13. K

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    Aaaahhhhhhhhaaa....... Hatariiii
Back
Top Bottom