Recent content by Kyeyo

  1. Kyeyo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu punguza press, be professional. Kila siku press, yanayoongelewa yaleyale, kwa nini?

    Anatumwa na Mkuu wake wa kazii
  2. Kyeyo

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa alilofanya Samia kwenye hotuba yake ni kukiri kuna Watoto wameuliwa na kupewa kesi ya Uhaini

    Kukiri haitoshi, alete miili ya ndugu zetu. Kama haipo ni suala lingine!
  3. Kyeyo

    JamiiForums Tanzania Malizia huu msemo: Ukivuliwa nguo sharti ………….....

    Ni huzuni! Japo ni ngumu na inaweza kuwa ni aibu ya kihistoria, Samia angekubali tu kujiuzulu ili kila mtanzania ataishije vinginevyo atarajie kuona miaka mitano migumu sana yenye upinzani ndani na nje ya serikali.
  4. Kyeyo

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 4-1 Singida Big Stars FC | Ligi Kuu Tanzania Bara | 17-11-2022

    Utopolo acheni sifaa mweeeeee
  5. Kyeyo

    JamiiForums Tanzania Mke wangu haniheshimu

    Fanya maombi Mungu atambadilisha
Back
Top Bottom