Hahahahaha!! Mi naongea nina uwezo wa kuona kila mshahara wa mtumishi ukinibishia nakuona mwehu! Sajenti wa Magereza ana 645,000 basic salary ,100,000 vinywaji,pango 95,000,ration allowance 300,000/,Bima bure hachangii, hardiship allowance 95,000,maji na umeme soon wanaanza kulipwa keshi,Ujuzi...