Recent content by kyenshaja

  1. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Wanazuoni wa kiislamu

    uko sawa tunga kitabu au toa jarida tununue isambazwe hii elimu ni kubwa
  2. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

    Inaonekana mambo yanayo husu taarifa za taaluma uko mbali nazo.CAG ni taasisi inayo sheheni taaluma nyeti kama unahitaji kuelewa zaidi mtembelee akueleweshe na usome draft zake majibu utayapata sio hapa jamvini.
  3. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

    Weka picha ya magari
  4. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

    Watanzania tunasubiri kwa hamu baraza kuu kumaliza kazi yake ya kutimua covid-19. Mada nyingine hazifai kabisa kabla ya kuwaondoa covid-19 Bungeni CHADEMA hamtaheshimika tena fanya kweli ili tuwaunge mkono. mbona siku zinasogea??
  5. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Utararibu wa kawaida umerejea korea ya kaskazini 2021 jana usiku

    w weka picha
  6. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 200, Marekani yapata Waziri wa Fedha Mwanamke

    weka picha yake
  7. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Kwa wajasiriamali wenye pesa zao, hii ni fursa

    T upe ufafanuzi mkuu ni biashara gani yenye fursa na faida tosha
  8. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Majina ya miaka kwa lugha ya Kihaya

    mwaka jana 2020 ilikuwa lima Emisiri ! yaani kulima kutayarisha mashamba mengi na mwaka huu ni Bagala yaani palilia hivyo mwaka kesho 2022 itakuwa Sha-alula au shoroma yaani vuna (Huge/harvest)?
  9. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo ambayo Wang Yi atayafanya akiwa katika ziara nchini Tanzania

    muandishi atusaidie tuelewe ziara ya waziri wa mambo ya nje wa China itakuwepo tarehe ngapi za uhakika ?pamoja na kuulizwa hajatupa taarifa sahihi. Kama kuna anaye fahamu habari hii atusaidie.
  10. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    naomba simu yako au muhusika wa kilimo cha macadamia tupe simu yako tunataka kununua hiyo miche ya shs 2,000/= piga au tuma sms 0763031988 / 0623225404
  11. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Lifahamu zao la Macadamia (Karanga Pori) na jinsi ya kulilima

    tupe simu yako au email tuwasiliane haraka
  12. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Taja uko wapi au location? Nahitaji ya kutotolesha.nicheki 0763031988 au 0623225404
  13. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awakabidhi waislamu mchango wa fedha za ujenzi wa msikiti, Shekhe wa Wilaya amshukuru

    shs ngapi zilizokabidhiwa mbona mtoa taarifa hasemi ,basi ni majungu .Taja kiwango na weka picha mtu ana pokea.
  14. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania INAUZWA ‪Viatu bei nafuu. Nakuletea popote kwa Dar es Salaam na mkoani nakutumia kwa uaminifu mkubwa‬

    viatu ni mpya au mitumba ?je unapata robota au mpaka uze pea tu na je mitumba unayo?
  15. kyenshaja

    JamiiForums Tanzania MWONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!

    T 1.Tangazo moja linaweza kuchukua mudagani kurudiwa hasa kama halikusomwa? 2.Nini maana ya PM (yaani waskufuate PM)
Back
Top Bottom