Recent content by Kyenju

  1. Kyenju

    JamiiForums Tanzania NIPO DUBAI 🇦🇪 — Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine GENUINE.

    Agiza kwa pesa yako sisi tuje kununua, kama anavyofanya Zahoro Matelephone, kama ni feki yakubumie mwenyewe. "Now days I don't entertain those nonsense"
  2. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yake, hapa kuna kitu cha kujifunza

    Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi. Kuna kitu gani kingine umeking'amuhttps://youtu.be/585IMBb14Kg?si=ZnO8wzvvxewNUGP-a?
  3. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yake, hapa kuna cha kujifunza.

    Sikiliza hii hotuba ya Rais wa Uganda Yoeli Kaguta Miseveni, bila kujali mapungufu na madhaifu yake na makosa yake ya kisasa na kiuongozi. Kuna kitu gani kingine umeking'amua? https://www.jamiiforums.com/attachments/3535461/
  4. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Miksi By Yass na mambo ya kijiamulia.

    Kwenye router nako wanagawanya?
  5. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Miksi By Yass na mambo ya kijiamulia.

    Kila nikijiunga data wanaamua ni kiasi gani cha data wakifanye kiwe cha Whatsapp. Kwangu naona haiko sawa, ilitakiwa waniulize mimi ndiyo niamue ni kiasi gani nikipeleke huko. Mara nyingi nimeona kifurushi kinaexpire bado nikingali na MB nyingi.
  6. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Mchimbi ibadani leo.
  7. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Kwani ni madhara gani husababishwa na mmea?
  8. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Hii bundiki ndio imetumika na kuuzwa zaidi Dunia na imeleta maafa ya kutisha.

    Huyu ndiye bwana Mikhail Timofeyevich Kalashnikov.
  9. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    The last drop of urine doesn't obey the gravitational force until you shake it. Zingatia hili neno "until you shake it"
  10. Kyenju

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yasogeza Mbele Kikao cha Baraza Kuu, Viongozi Kushiriki Kesi ya Mwenyekiti wao Lissu

    Tunafanyaje kikao hali M/Kiti wetu Kamanda bado kasukumwa ndani?
  11. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Mwachie Emanuel Nchimbi punguzeni kuendesha nchi kihuni

    Watanganyika!!! Ni watu wa makelele mitandaoni, vitendo zero.
  12. Kyenju

    JamiiForums Tanzania KERO Nimetibiwa Zahanati ya Chuo Kikuu cha MUST, Mganga Mkuu anasema nilipe kwa Lipa Namba yake, hii ni sawa?

    No vizuri lifuata maelekezo ya daktari bila kupiga kelele. Okay🫵🫵
  13. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

    Haya mambo ya siasa chafu bana! Wakubwa wanapatwa na mafua wadogo wadogo ndiyo wanapiga chafya.
Back
Top Bottom