WAKENYA hongeren sana mana huyo mtu angewauza ko hata aende wap wakenya ndo washaamua
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeshindwa kuandamana kipind chote cha miaka miwili mnapewa kila siku za uso ndo mje kuandamana kwa ajiri ya bombardier..
Jaribuni muone
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukisafili huku nyuma mnafanya magumashi nyingi kwa siku moja sasa bora tubanane hapahapa...nje tutaendelea kumtuma makamu wa rais hadi miaka kumi iishe. Asante
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi billion ni hela za mboga tu
-kiukwel mama alinivuruga mpaka nikaanza kuchukia chama changu kutunza watu kama hawa
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une
Sent using Jamii Forums mobile app
Kugundua? Sahihi zao zipo pale kila upigaj ulioendelea mbona alishasema hilo jana ko acha wanyooke
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hii ndo style ya kipind hiki kama uliweza kuzila hela za watanzania bila aibu acha na wewe ushughulikiwe bila kukuonea huruma. ..ungekuwa mtu wa mbeya ungejua uchungu wa soko hili naona lilivongojewa kwa hamu mwisho kupewa output ambayo ni upumbavu mtupu tena kusubirisha kwa miaka mingi...
Hiko chama si chenu nyie wachaga sasa sisi watu wa mbeya kinatuhusu nn endelen kujifaliji kama mtakuja kuchukua hii. ..sisi tunakomaa na chama la taifa sio cha wachaga
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa lake alikijenga chama kwa misingi ya kikanda na kikabila ndo kitakachomtafuna mpaka chama kujifia huko
.
.
.
kyenekyaka nkighanile une
Sent using Jamii Forums mobile app
Linasubur kidgo chato boy anyooshe nchi ikae kwenye muhimili wake baada ya hapo litaanza kutoa hayo matamko kuwa na subira
.
.
kyenekyaka nkighanile une
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.