Recent content by Kyatsvapi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Horatio Spafford mwandishi wa wimbo wa ni salama rohoni

    Angalau ungenitag kuappreciate kazi iliyofanyika...hahahaa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Horatio Spafford mwandishi wa wimbo wa ni salama rohoni

    Hii stori niliiandika hapa jukwaani. Naona umecopy paste, mkuu. Historia ya wimbo uitwao Ni Salama Rohoni Mwangu (It is Well with my Soul) - JamiiForums
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Horatio Spafford mwandishi wa wimbo wa ni salama rohoni

    Mkuu, umecopy paste hii stori. Niliiandika hapa hapa jukwaani...
  4. K

    JamiiForums Tanzania NADHIRI: Unapoiweka usisahau kuikamilisha na kuiondoa

    Hii ni kutoka kitabu cha Kumbukumbu la Torati (biblia) sura ya 23:21-22: 21 Utakapoweka nadhiri kwa Bwana, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako. 22 Lakini ukijizuia usiweke nadhiri, haitakuwa dhambi kwako.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kigamboni

    Kama bado hujapata na unahitaji Gezaulole kwenye mradi wa viwanja vipya blocks 16-24 nicheki inbox. Hili ni eneo lililo karibu na zinapojengwa ofisi za Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya pia Hospitali ya wilaya ya Kigamboni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kibubu challenge: Sasa imerahisishwa kwa excel

    Wanajukwaa, Heshima mbele. Nimekuwa nikiona mpango wa baadhi ya watu kujijengea desturi ya kuweka akiba kwa mfumo ambao unajulikana kama 'kibubu challenge'. Baada ya kujifunza namna unavyofanya kazi, nikaona na miye nichangie kidogo katika kuendeleza tabia hii nzuri ya kujiwekea akiba kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu. 2 Wakorintho 9 :7
  8. K

    JamiiForums Tanzania Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Ni ile kazi ya shule au? Hongera sana kama ulipata kazi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania DESIGNATED SURVIVOR: FBI Agent Hanna Willes,mtu makini zaidi katika series hii

    Inakaribia kwisha. Inaisha wiki hii
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kusafiri Dar-Mbeya kwa Toyota IST, nijuzeni haya

    Mkuu, Nimesafiri na IST Desemba mwaka jana toka Dar kwenda Mbeya. IST yangu ni cc1,500 na nilitumia lita 50. Utaratibu wangu huwa ni kijaza mafuta kila mkoa, so niliweka full tank Dar na nilipofika Moro nikajaza tena, nikaenda jaza tena Iringa lengo ilikuwa kujua kiwango cha mafuta ninachotumia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wauza new original otg flash drive

    Mkuu, Uko wapi nataka 2. Nipo Dar
  12. K

    JamiiForums Tanzania Miji ya Tanzania iliyo juu zaidi kutoka usawa wa bahari

    Mwezi uliopita nilipita Kitulo nikiwa natokea Makete kwenda Mbeya. Baridi la pale si mchezo. Kuna ukungu moja hivi huwa unatokea kiasi kwamba wenyeji wanasema ikifika kuanzia saa 12 jioni inakuwa taabu sana kuendesha gari...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mipapai huu ni ugonjwa au nini?

    Mkuu, Huwezi badili jinsia ya mapapai. Ukigundua ni dume, ng'oa tu. Ile ya kuweka vigunzi sijui 'haifanyagi' kazi. Utajisumbua bure...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu tiba ya mionzi

    Asante sana mkuu danya kwa elimu...
Back
Top Bottom