Recent content by kyanyangwe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo anapokunyima Unyumba, unatakiwa kuchukua hatua gani?

    Habari za leo watu wa humu. Usiku wa kuamkia leo nilikua na hamu sio poa, si ni kawa namuomba wife anipe, akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu. Sasa wakuu, kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani? Au nikachape za nje?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zinazoongoza kwa wafanyakazi kuwa na maringo na masifa hapa Tanzania

    1.TRA 2.NSSF 3.PSSSF 4.BOT 5.UDSM 6.DAWASA 7.TANESCO 8.MUHIMBILI HOSPITAL 9.IKULU 10.CRDB BANK 11.TISS 12.Police 13.PSRS 14.NHIF 15.CCM 16.NIDA 17.Wasafi media 18.clouds media Staff wa hizo taasisi huwa wanajiona kama wanafanya kazi mbinguni vile yani.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hii case ya huyu jamaa yangu inasolviwa vipi wakuu?

    Kuwa mkweli tu usaidikike. Huyo jamaa yako ni wewe mwenyewe Sijui kwa nini jf mnapenda kusingizia jamaa zenu case.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu kajifungua, hana uhakika kama mtoto ni wangu au wa mumewe

    Wakuu Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma. Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye. Tunasolve vipi hii case wataalamu?
  5. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yalikua yamoto kiasi mkuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Maswali ya auditor ii Naot yalikua haya 1.Introduce yourself 2.a) what is NAOT b) explain audit services provided by NAOT 3.Explain conditions in which auditor consider to determine materiality 5 points 4. a)what is value for money b) explain importance of value for money 4 points 5.Ethical...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

    Mara moja naachia mabomu,hata yeye huwa anaachia mbona?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

    Sipigi fegi mzee wangu?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

    Watu wazima wa 30+
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ukanda wa kimara ( Ubungo mpaka Mbezi Mwisho) Tatizo ni nini?

    Kimara huku watu wanakunywa visungura sio poa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hapendi kujifunika shuka moja na mimi, nifanyaje?

    Wakuu Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi. Nifanyaje?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumkopa mchepuko wako pesa?

    Yes boss
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumkopa mchepuko wako pesa?

    😀😀mambo yamenikaba shekh
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumkopa mchepuko wako pesa?

    Nipe mbinu za kumuingia?
Back
Top Bottom