Hapana....,kinacho onekana hapo ni malipo yake yaliyo thibitishwa ambayo atayapata muda c mrefu...!Bodi wanaanzaga na meals and accommodation na fees huwa ni baadae.
Kama ume disco degree,nenda chuo upewe discontinue letter.Ipeleke TCU ili waondoe jina lako kwenye mfumo then ufanye application ya vyuo upya katika mwaka wa masomo.
Kama ume disco on academic ground,unaweza ku apply katika mwaka unao fata wa masomo.
Kama ume disco on misbehaving such as...
Africa life,Maisha ya watoto wa Africa hasa tuliozaliwa familia maskini,msingi wa mafanikio huwa ni bahati tu.Fursa nyingi hazipo upande watu,itakuhitaji utumie nguvu kubwa sana with a lot of sacrifice kufikia malengo.
Kusoma sidhani age kama ni tatizo.Kikubwa ni malengo yako.Ukibahatika kuingia chuoni utakutana na watu wazima wenye age sawa au kuwazidi wazazi wako,wanapiga book.Timiza ndoto yako,age doesn't matter at all...!
Ni jinsia gani?Vp akili yake na uwelewa wake katika utambuzi wa mambo?
OK,fanya evaluation katika vipawa au kipaji chake kwa yale anayo yamudu then unaweza kumuendeleza katika hayo na ikawa ajira yake hapo baadaye...!
Cheti cha kuzaliwa pamoja na vyeti vya vifo,vina verified na rita then unapewa verification number ambayo unaiingiza hapo wakati unafanya application ya mkopo.Kama hujafanya verification ya cheti basi anza na hiyo kabla ya kuomba mkopo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.