Naweza tumia cheti cha form 6 kuomba diploma baada ya ku-disco chuo

Ukidisco degree unaweza tumia cheti Cha form six ku-apply diploma, na ukitaka kuapply diploma unasoma miaka mingapi Ili umalize?
Kama ume disco degree,nenda chuo upewe discontinue letter.Ipeleke TCU ili waondoe jina lako kwenye mfumo then ufanye application ya vyuo upya katika mwaka wa masomo.

Kama ume disco on academic ground,unaweza ku apply katika mwaka unao fata wa masomo.

Kama ume disco on misbehaving such as cheating on examinations, penalty yake ni miaka 2.

Hivyo kama ni academic ground,then usihangaike na diploma.Fanya hizo atua urudi na kujipanga upya.

Kuteleza siyo kuanguka,badirisha chuo au course then kapambane upya.

Kila lakheri....!
 
Ukiona vp angalia ata namna ya kuingia ata kwenye recruiting za uhamiaji ,JW,magereza , nivile TU level ya form six ndo ipo sokoni sehem izo
 
Kama ume disco degree,nenda chuo upewe discontinue letter.Ipeleke TCU ili waondoe jina lako kwenye mfumo then ufanye application ya vyuo upya katika mwaka wa masomo.

Kama ume disco on academic ground,unaweza ku apply katika mwaka unao fata wa masomo.

Kama ume disco on misbehaving such as cheating on examinations, penalty yake ni miaka 2.

Hivyo kama ni academic ground,then usihangaike na diploma.Fanya hizo atua urudi na kujipanga upya.

Kuteleza siyo kuanguka,badirisha chuo au course then kapambane upya.

Kila lakheri....!

Umemaliza.
 
Pole sana.
Fata ushauri wa wadau hapo juu, inshAllah mambo yatakua mazuri.
 
Sikuizi usumbufu wa kutafuta barua tcu hili udahiliwe Tena chuo aupo ndugu unaweza kuomba Tena degree ukapata chuo na at diploma ukapata Hila kama uliwai kopesheka ndo shida upati Tena Mkopo mbaka utimize sharti lao la kurejesha kwanza asilimia Fulani ya mkopo waliokupa yaani uke ulioula kipind Cha masomo yako kabla ya kukutwa na majanga
 
Back
Top Bottom