Recent content by Kyamkwikwi

  1. K

    Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

    Kwani ukinyamaza si utaonekana zimo kuliko kujidhalilisha kiasi hiki, hivi unamaanisha majanga mengi yapi hayo ya kila siku? Au kama ni uongozi wa kiuchwara tulio nao kila siku hapo sawa hilo kweli ni janga la kila siku kinyume na hapo basi janga litakuwa ni kwenye fikra zako tu.
  2. K

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Bila kuingiliwa iwapo ni katika misingi ya kidemokrasia, huru na haki pasipo kukandamiza matakwa ya wananchi. Kuwanyang'anya Wananchi demokrasia kwa kutumia kura ni uhalifu pia na huu ni mkubwa zaidi. Itakuwa ni ajabu mahakama iache kusikiliza uhalifu mkubwa kama huu eti inasubiri mpaka watu...
  3. K

    Ndugu Lowassa Tafadhali, Mmependekeza Watanzania Wamekataa, na Wataishi na Uamuzi Huo

    Mwanakijjji naamni bado ni yuleyule uliyejitanabaisha kama mtetezi wa wanyonge na msimamia haki, hivyo naamini una uelewa wa kutosha kujua kwa nini nime-paste jumbe hizi kwa uzi wako unless uwe sio Mwanakijiji ulishabadilika na kuwa Mwanamjini, hapo sawa. Nilikutegemea uchambue matokeo...
  4. K

    Lubuva: Nec liko jambo haliko sawa, tupe ufafanuzi wa usahii wa hesabu zako

    Asante. Nikukumbushe: Dhuluma haijawahi kushinda HAKI, wakati utasema.
  5. K

    Lubuva: Nec liko jambo haliko sawa, tupe ufafanuzi wa usahii wa hesabu zako

    Lubuva na NEC yako nawaomba muache kutuchezea watanzania hatuko mbumbumbu, muache udanganyifu huu wa wazi!!!!! Waliopiga Kura - 15,589,639 Kura Halali ni 15,193,862 Kura zilizokataliwa ni 402,248 Jumala ya kura halali na kura zilizokataliwa ni...
  6. K

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Swali hilo umeulizwa, ebu jibu? Freeland Re: Reporters itv dar es salaam mnatuletea kata walizoshinda upinzani tu ( mnajidharaulisha)hivi tbc wanaonesha? star tv vipi?
  7. K

    Maalim Seif: Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza, aitaka ZEC imtangaze mshindi

    Kiongozi mbona unajionyesha utupu wa bongo yako, sisi hatuhitaji kuona bwana ficha kidogo. Tume inatangaza mshindi kwa mamaka ya kisheria haitoi taarifa, Maalim katoa taarifa zilizkusanywa na mawakala wake, ana haki ya kusema ni nini kimepatikana. Hii so siri ndo maana matokeo wanapewa mawakala...
  8. K

    Kijijini kwetu nimekuta mabadiliko ya kimaendeleo

    Mnaweza kwenda vijijini kwenu mkathibitishe sio kusubiri kuthibitisha vya wengine.
  9. K

    Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Aiseeeh!! Umenichekesha sana, kwa hiyo na wewe ni JF Great thinker.......... ahahahaaaaaa Kazi kwelikweli, ni nini kimewachnaganya hivyo akili zenu, yaani kama mmekuwa weu ghafla
  10. K

    MkikiMkiki: Mdahalo wa wagombea Urais Oktoba 18, 2015

    Unaongopa wakati wa kuomba kura, je siku ukiwa madarakani, ni balaa tupu huyu jamaa. Kiongozi asiye makini katika fikra zake, anataka awadumbukize watanzania shimoni kwa ulaghai
  11. K

    MkikiMkiki: Mdahalo wa wagombea Urais Oktoba 18, 2015

    Habari ya kweli hii 👇 Lowassa: "Sitoweza kuhudhuria mdahalo husika kwa sababu ya ufinyu wa muda ktk ratiba na uhusiano wa wahandahaji husika wa mdahalo huo na chama tawala. Magufuli: Naahidi nitahudhuria mdahalo kwa wakati, msiwe na wasiwasi wala sidanganyi ninasema kweli tena...
  12. K

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Aha ha ha haaaaaa!!! Hii nchi tamu kweli, TV's zinatunaonyesha akina ezekiel, diamond n.k. wakitoka kwenye show, leo mkuu wa majeshi ambaye amesababisha taharuki nchini, arejee kimyakimya hata tv moja imeshindwa kuka-capture hili tukio la kurejea kwake hata kwa mbali, KULIKONI????!!!! Amerejea...
  13. K

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Mdahalo waandae CCM, Lowassa unamhusu nini?? TWAWEZA wana nini jipya la kutupotezea mda Watanzania makini.
  14. K

    Swali kwa NEC, Kikwete, CCM na Jeshi la Polisi

    Unawezaje kuandika vitu ambavyo haujui, si bora uulize uelimishwe kuliko kukurupuka, nyie ndio mnaoshangilia hata push-ups mkidhani ndo sifa ya uongozi wa nchi.
  15. K

    Mahakama ya mafisadi, kesi namba moja itafunguliwa Richmond

    Mmiliki si tulitajiwa kuwa ni JMK au alitajwa nani?
Back
Top Bottom