Recent content by Kyamiki

  1. Kyamiki

    Profesa Kitila: Serikali imebana matumizi, viongozi hawaishi maisha ya anasa magari yamebaki kwa viongozi wa juu tu

    Kiongozi anatumia gari inauzwa Usd 200'000...halafu wananchi maisha yao hoi...
  2. Kyamiki

    Uzi maalumu wa majina mapya ya watoto

    Tumpare-means tumsifu🤣
  3. Kyamiki

    DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Kanisa la KKKT-DKMS, viongozi walipe fedha za malimbikizo ya mishahara ya watumishi waliowahi kufanya Kazi ktk taasisi zao na wanadai malimbikizo ya mishahara yao, Mf.shule ya Bangala seminary walimu wanadai mishahara zaidi ya miezi 20 na uongozi wa kanisa(katibu mkuu n.k) ambaye ndio mwajiri...
  4. Kyamiki

    Tuhuma za kutisha za Dr. Munga Askofu KKKT -DKMS

    Katoka Munga wamekuja wengine.. Shekhe ni yule yule bali tofauti ni kanzu tu... Walituaminisha kuwa Munga akitoka tutaenjoy lkn ndo mambo yanazidi kukaba.. Harambee zinafanyika kutulipa madeni lkn pesa inashia juu KWA juu.. Nimefanya kazi na Hawa watu na mpaka Sasa nawadai na Hawana mipango...
  5. Kyamiki

    Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

    Ni Shiiida...Hawa watu wa kanisa ni watu hatariii...wabinafsi mnoo viongozi.. Wanajijali wao tu..unashangaa Askofu Anakula mshahara mil 3..na anaweza kupokea mishahara miwili mfululizo wakati kuna mtumishi kwenye kituo anadai mishahara 6 jumla ni sh.2 millions na asipewe hata mia
  6. Kyamiki

    Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

    Ilikuwa ni 7 Bilions....sijui kama walipunguza maana!!!
  7. Kyamiki

    Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

    Iko hivo...Hawa hata mimi nawadai ila wasumbufu kulipa, ila
  8. Kyamiki

    DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Kuna vituo mbalimbali wa vituo vya kanisa kama vile Lwandai sekondari, Bangala seminari watumishi waliopo hapo wanateseka na hawalipwi kwa wakati ilikhali viongozi wa Dayosisi wanaishi maisha murua na naamini wanapeana posho kubwa kubwa.. Pia viongozi wa kanisa wakipunguza safari za hapa na...
  9. Kyamiki

    Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

    Walichimba madini katika maeneo ya kanisa na mpaka Sasa pesa hazieleweki zilienda wapi...wanadai ati hawakupata kitu wakati tuliokuwepo pembeni tuliona wakitorosha madini na fedha...mkurugrnzi wa uchumi na mipango kapiga fedha ya kufa mtu..🤣🤣🤣.. Kuna mianya mingi ya upigaji kkkt..so dini siku...
  10. Kyamiki

    Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

    ACHA papigwe mnada tu Ili tulipwe pesa zetu.. Maana viongozi wa Dayosisi ni wapigaji tu na wanajijali wao...KWA kifupi viongozi wa kanisa ni Matapeli 🤣🤣🤣
  11. Kyamiki

    Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

    Michango ya washarika inapigwa na Viongozi wakubwa wa kanisa.. Unakuta Askofu anazunguka huko ulaya na familia yake bila Tija.. Hulk KKKT-DKMS nina uzoefu nao mkubwa maana hata mimi nawadai pesa nyingi kutokana na kazi niliyowafanyia..lakini mpaka leo sijalipwa. Zaidi utasikia tu viongozi...
  12. Kyamiki

    DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

    Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na...
  13. Kyamiki

    SoC03 Walimu wa shule binafsi wawe na hadhi sawa na wale wa shule za serikali

    🤣🤣🤣..shule binafsi hizihizi ninazozijua?.. Nowadays huko private schools hata mishahara hakuna bali kuna posho.. Kuna shule ni mali ya kanisa mkoani tanga - bumbuli na lushoto watumishi hawajalipwa KWA miezi zaidi ya kumi..wanadai madeni makubwa..nwa wakifuata uongozi wa kanisa wanapewa majibu...
Back
Top Bottom