Recent content by KYAMBOGO MP

  1. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

    Umesema price imekua quoted per ton that's why nimemuuliza conversation ya ton per litre sio barrel per litre ili tufanya comparison na price alizotaja mheshimiwa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

    Kwa hiyo Ton 1 ni sawa na litres ngap?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni juzi tu hapa TPDC walitangaza nchi Ina akiba ya kutosha ya mafuta inakuaje bei ipande marudufu ndani ya week wakati nchi ilikua na akiba ya kutosha

    Unamaanisha hyo reserve ipo tu haesabiwi katika supply chain ???Na kama ipo tu kusubiria hali ya hatari vip kuhusu ubora iwapo Hali ya hatari isipotokea kwa kipindi kirefu??
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni juzi tu hapa TPDC walitangaza nchi Ina akiba ya kutosha ya mafuta inakuaje bei ipande marudufu ndani ya week wakati nchi ilikua na akiba ya kutosha

    Kama nchi ilikua na akiba ya kutosha ya mafuta inakua vip bei inapandishwa ghafla ina maana stock iliyokuepo imeisha ? au wameamua kupandisha bei ya mafuta kwa kutazama soko la Dunia wakati nchini tuna reserve ya kutosha kwa bei ya zamani!! Ikiwa nchi ilikua na akiba ya kutosha tulitegemea bei...
  5. K

    JamiiForums Tanzania KERO Magari ya Dangote kupaki barabarani (Old Morogoro Rd) maeneo ya TANITA kueleka Mwendapole imekua kero kwa watumiaji wa barabara hiyo

    Watumiaji wa barabara ya Morogoro hususani tunaokwepa foleni kutoka picha ya ndege kuelekea Mlandizi tumekua tukitumia old Morogoro road ila kwa kipindi kirefu tumekua tunapata shida tunapofika maeneo ya TANITA na Mwendapole kutokana na msululu mrefu wa Magari ya Dangote yanapark barabarani na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania SR 40 NOAH ..AWD DRIVE INAUZWA BEI 11M GARI HAINA CHANGAMOTO YEYOTE

    Nauza noah SR 40 Automatic gear bei 10.5M haipungui . Gari ipo Dar es salaam Ilala/Kigamboni. ukitaka kuiona ni muda wowote Gari haina changamoto yeyete na haijawahi tumika kwenye biashara zaid ya matumizi ya kifamilia tu. ukihitaji njoo PM
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Kivuko cha kubeba watu 100 kinabeba zaidi ya watu 2000 kwa maagizo ya viongozi wa serikali

    Usiku wa mwaka mpya . Majanga yanatafutwa kwa lazima.Kiongozi anaruhusu watu wavuke bure na bila utaratibu kwenda kwenye tamasha la mwaka mpya. Kivuko chenye uwezo wa KUBEBA watu 100 na Magari 3 KINABEBA watu zaidi ya 2000 na hakuna anaejali wa kuchukua tahadhari za kiusalama. VIONGOZI wa mkoa...
  8. K

  9. K

    JamiiForums Tanzania Low Profile ni Mbinu itakayokusaidia katika mapambano ya Maisha

    Ushauri wa Karne!! Busara za karne
  10. K

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    04:15
  11. K

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    03:48
  12. K

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0409
Back
Top Bottom