It has been so long guys.Hawa jamaa washapata mwenyekiti wa bodi, ambaye inasemekana ndo alikuwa kikwazo kwa matokeo ya mitihan iliyofanyika Nov mwaka Jana kutoka . Mbona bado kimya wadau? Kuna mwenye info zozote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.