Sidhani kama nahitaji mtaji mkubwa ninachotaka nianze kuzalisha kidogo kidogo kwa ajiri ya kujifunza nikishaweza napanua mradi kwa ajili ya uzalishaji mkubwa
Wadau Amani iwe kwenu
Nimefuatilia kwa wenzetu huko Nigeria wanaozalisha funza agotti) kwa ajiri ya chakula cha kuku kwa kutumia inzi waitwao Black Soldier
Nauliza kwa hapa Tanzania wapi naweza kupata hawa inzi ili nitumie kwenye ufugaji wangu wa kuku
Hata biblia imeandika "Mtoto usimnyime mapigo"
Watoto wanapaswa kuhadhibiwa wanapokosea cha muhimu adhabu isipitilize ikageuka ukatili kwa Mtoto
Binafsi sio mwislamu ila suala la adhabu kwa Mtoto akizingua naliunga mkono
Ni kuku wa kampuni gani?
Mi niliuziwa kuku toka Burundi mpk wamefikisha miezi Saba kuku 1000 wanataga mayai 250 nikaamua kuwauza kwa hasara maana wameishia kunenepeana na kutaga mayai yasiyo na uwiano wa shape
Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
Ni karibu week ya pili mtandao wa Halotel unasumbua huku kanda ya Ziwa lakini hamtuambii nini tatizo.
Hebu tuambieni maana MB zetu mpaka zinaisha muda wake network hakuna ikija inakaa dakika kadha inapotea tena
Tunaomna mseme chochote ili tujue
Kwenye nchi yenye Uhuru wa vyombo vya habari hilo linawezekana lakini kwa hapa kwetu sio rahisi maana hakuna mahusiano mazuri kati ya wadau wa habari na serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.