Recent content by kyaijumba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kibonde clouds fm kuwa mzalendo pia serikali iwe makini na matangazo kama haya

    Ndg yangu rugumya nafikiri tunatoka wote mkoa mmoja ambao uliathirika zaidi na vita hivyo yaa mkoa wa kagera.Nasikitika sana kuona ww ambaye ndo ulitakiwa ulieze hili kwa ufasaha mkubwa hujui kama hapakuw na sababu za tanzania kuingia vitani na uganda,tumeingia vitani na uganda lwasababu za...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

    Pole sana mhe mkapa umesahau kuwa uliua waislam pale muembe chai ambao hawakuwa na hatia uliwafata msikitini kwao wakiwa ktk ibada zao ukatoa uhai wao bila sababu,bora ukae kimya ktk hili usiwakumbushe waislam machungu uliyowapatia.kaa ukijua ipo cku utdhalilishwa kama ulivyowadhalilisha waislam...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Huyo askofu maneno yake hayana mashiko,na maneno yake hajayafanyia utafiti anataka kuendeleza ufreemasoni tu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waislam Tanga waomba watoto wa kike wasikae dawati moja na wakiume

    hivi unataka kujua wadau tunasemaje ktk hili au unataka nn maana naona tyr umejijibu sasa cjui hii post umeweka ya nn? acha unafiki jali yanayokuhusu ww.
  5. K

    JamiiForums Tanzania DC wa Tanga nusura amsweke rumande padre

    Kwann uandike uongo mbn nipashe hawakuandika hizo habari za mkuu wa wilaya kupiga magoti kumuomba askofu ambariki,ww umezitoa wapi?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Matapeli sugu wa mtoni Mtongani akina ntunyungu

    nikawaida tu.
Back
Top Bottom