Recent content by kwisha kazi

  1. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa akieleza kuhusu Rais Magufuli kukutana na Marais wa Afrika Mjini Addis Ababa

    Siamini kwamba ni ww umemwaga sifa namna hiyo kwa JPM!
  2. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania Umeme Arusha ni janga

    Mambo mengine mnatusumbua tu,si mnaye nabii wa b.a.n.g.e huko au hajapewa maono?!
  3. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania GEITA: Waokoaji wapata kuwasiliana na waliofukiwa na kifusi mgodini, warudisha majibu kuwa wako hai

    Ila kwakweli,eti sigara!Hao jamaa hapo wametisha!Pamoja na yote Mungu awawezeshe waokozi wafanikiwe kuwaokoa salama.
  4. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania Magazeti yaipa kisogo ndege ya Rais Magufuli

    Hiyo wanapanda watu wajanja tu km timu ya Yanga na si wamchangani km simba.
  5. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

    Toka lini ngoma ya watoto ikakesha?!
  6. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tumetoka gerezani kumsalimia Lema, yuko imara na mwenye afya, ameniambia neno moja...

    Vipi,hajaoteshwa kwamba ni lini atatolewa nabii wetu mpendwa?!
  7. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tumetoka gerezani kumsalimia Lema, yuko imara na mwenye afya, ameniambia neno moja...

    Vipi,hajaoteshwa kwamba atatoka lini ktk kunyea ndoo?!
  8. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania Rais John Magufuli aelekea Addis Ababa kwenye kilele cha mkutano wa 28 wa wakuu wa AU

    Nchi ni TANZANIA. Chama tawala ni CCM. Rais ni JOHN POMBE MAGUFULI. NB:Km hupendi ama kufa au hama nchi.L.O.F.A!
  9. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania UKAWA watia shaka pesa za ununuzi wa UDA, wapiga kura kuzikataa

    Tambala la deki ktk ubora wako!
  10. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania Mbowe atembelea shamba lake alilopigwa marufuku asilime

    Mkwepa kodi!
  11. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania Mlango wa Bombardier Q400 wazua kizaazaa baada ya kuruka

    Hiyo siyo hitilafu bali ni uzembe wa aliyeufunga huo mlango!
  12. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi na wafuasi wa CHADEMA wanashindwa kukiri kuwa wamepoteza Kata ya Tanga Songea?

    Acha uongo!Kwa taarifa yako,huyo jamaa alichaguliwa kwa mapenzi ya wanachi kwake na si kwamba eti walikuwa wanakipenda c.h.a.g.a.d.e.m.a.Ukweli ndo huo hata alipo rejea CCM chama dume amechaguliwa.Mtasubiri sana l.o.f.a.z!
  13. kwisha kazi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    Pole ndg mwanaMatombo kwa kupigwa kipigo kitakatifu.Hakika huko kwenu leo Matombo ni majonzi na giza lililo kuu!Tuliwaakumbusha lkn kwamba siasa si matamko na mbwembwe
Back
Top Bottom