Gerson Msigwa akieleza kuhusu Rais Magufuli kukutana na Marais wa Afrika Mjini Addis Ababa

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Bw. Gerson Msigwa akieleza shughuli za Rais Magufuli katika Mkutano wa 28 wa AU Mjini Addis Ababa

Just imagine kama rais Magufuli asingeenda mkutano kama huu.
Maazimio mengine kama haya yangepitishwa tu.
Lakini kuweko kwake huko na KUPINGA ama kutoa reservation yake kuhusu TOZO la bidhaa zinazoingia ndani ya nchi za wanachama ili kufadhili AU.
KUMESAIDIA sana.
PILI:
Kule kukutana ANA kwa ANA na rais Muthalika wa Malawi kutapunguza TENSION na hivyo kutatua tatizo la wale watanzania wetu waliokamatwa amicably/Kwa njia ya amani.
Mikutano kama hii ASIKOSE!
 
Safi sana Mh. Rais kwa kuitangaza nchi yangu Tanzania.

Ila Msigwa angetuwekea clip tumsikie Mh. Rais wetu akizungumza na Marais wenzake. Na sio yeye Msigwa kutueleza kila kitu wakati teknology inaruhusu kukipata kilichozungumza.

Tunahamu kumsikiliza Mh. Rais wetu akiwa anaongea na Marais wenzie na sio kuadisiwa. Mbona ata kwenye taarifa ya Habari huwa wanasoma habari na kisha kutupa wasikilizaji kujionea na kusikia kilichokuwa kinaendelea?

Tafadhali Msigwa usitunyime raha ya kumsikia Mh. Rais wetu
 
Kuitangaza kwani haijulikani?
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Bw. Gerson Msigwa akieleza shughuli za Rais Magufuli katika Mkutano wa 28 wa AU Mjini Addis Ababa

Maraisi wa South Africa, Egypt, Uganda na baadae Ethiopia, walioalikwa kuitembelea Tanzania karibuni sana.

Mh. Raisi ukiwa huko huko Ethiopia naomba ukatembelee miradi ya kuzalisha Umeme, Reli mpya ya Ethiopia to Djibouti, Treni na reli za umeme za jijini Adis Ababa nadhani unaweza kupata ufahamu zaidi utakoisaidia nchi yetu.

Vile vile kwenye mazungumzo yako na Waziri mkuu wa Ethiopia naomba umulize na yeye siri ya shirika la ndege la Ethiopian Airline kufanya vizuri zaidi (kuendeshwa kwa faida), naamini utapata mawazo mazuri kama yale ya Mh. Kagame ambayo yametusaidia hadi na sisi tumeweza kumiliki ndege zetu wenyewe.

Naombeni mwenye kuonana na Mh. Raisi wetu amfikishie mchango huu.
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Bw. Gerson Msigwa akieleza shughuli za Rais Magufuli katika Mkutano wa 28 wa AU Mjini Addis Ababa

Vipi kuanzisha kipindi maalum cha Radio na Televisheni TBC nk:
Magufuli WIKI hii. Ama
Kipindi maalumu cha Safari ya Magufuli. Ama
Yaliyojili AU. Ama
Sauti toka Ikulu.
Na kiwe endelevu?
That would be cool!
 
Safi sana Mh. Rais kwa kuitangaza nchi yangu Tanzania.

Ila Msigwa angetuwekea clip tumsikie Mh. Rais wetu akizungumza na Marais wenzake. Na sio yeye Msigwa kutueleza kila kitu wakati teknology inaruhusu kukipata kilichozungumza.

Tunahamu kumsikiliza Mh. Rais wetu akiwa anaongea na Marais wenzie na sio kuadisiwa. Mbona ata kwenye taarifa ya Habari huwa wanasoma habari na kisha kutupa wasikilizaji kujionea na kusikia kilichokuwa kinaendelea?

Tafadhali Msigwa usitunyime raha ya kumsikia Mh. Rais wetu
Siamini kwamba ni ww umemwaga sifa namna hiyo kwa JPM!
 
Msigwa kuna vitu umeruka.
Mbona hujasema kama Rais pia kakutana na expedition na wanehaidi kushirikiana ili kuleta maendeleo ya viwanda kwa Taifa letu Tanzania.
Hayo maendeleo ya viwanda nayasubiri
Nisife tu mapema nishahudie Tz ianze kuwa na kiwanda chake cha kutengeneza magari, nimnunulie mjuu wangu nafikiri wakati huo tutakuwa tunauzia bei ya chini kabisa ni dola 200
 
Amejitahidi sana kwa kiwango chake kama JPM angekuwa anasafiri kama JK angekuwa ashapata exposure ya kutosha sana
 
Back
Top Bottom