Umeme Arusha ni janga

Wadau kutwa nzima ya leo maeneo mengi ya mji wa Arusha hayana umeme....tanesco Kimyaaa....na hili ni jambo la kila mara...sitaki kuamini sababu ni kina fulani kushika usukani kwenye jiji hili..

Mwe.
Kama ni kweli wanatuoa shida kutokana na mambo ya kisiasa basi,tutaendelea kuwachagua hao hao hadi ukamilifu wa dahari!!
 
Wadau kutwa nzima ya leo maeneo mengi ya mji wa Arusha hayana umeme....tanesco Kimyaaa....na hili ni jambo la kila mara...sitaki kuamini sababu ni kina fulani kushika usukani kwenye jiji hili..

Mwe.
Uko sehemu gani mkuuu. Huku kwetu walikata kama cku tano hivi ila tangu Jana umeme upo.
 
Arusha tunajuta kuchagua chadema.
Hamna wanachotusaidia kuhusiana na tatizo la umeme.
Kazi yao kushangaa shangaa na kulalamika tu utafikiri wao siyo viongozi
 
Wadau kutwa nzima ya leo maeneo mengi ya mji wa Arusha hayana umeme....tanesco Kimyaaa....na hili ni jambo la kila mara...sitaki kuamini sababu ni kina fulani kushika usukani kwenye jiji hili..

Mwe.
Daah Dsm Kwakweli Tusiwe wanafaki .. tumesahau Kabisa kama Kuna Janga la Umeme .
Sikumbuki mara Ya Mwisho umeme Umekatika Lini . Ni Juz baada Sockert Bracker Kuungua . Na walitoa Taarifa and within short time umeme ulirejea , ikiwa na Samahani za Kutosha kwenye maandishi na Tv.

Poleni Arusha. ..
 
Chadema na umeme wapi n wapi? Hivi nyie mbwa jike wa lumumba ni nani kawaloga?
Nadhani umelogwa Ww usiyejua unazungumza nn .
Aliyekuloga Kakuloga kisiasa

Hapo kuna Uhusiano gani wa Lumumba na Ufanisi wa tanesco mkonwa Dsm .

Tatizo lenu mnazani kila mtu mwanasiasa
 
Nadhani umelogwa Ww usiyejua unazungumza nn .
Aliyekuloga Kakuloga kisiasa

Hapo kuna Uhusiano gani wa Lumumba na Ufanisi wa tanesco mkonwa Dsm .

Tatizo lenu mnazani kila mtu mwanasiasa

Kwahiyo kuna uhusiano wa tanesco na chadema? Uyo nimemjibu kwasababu ni uvccm tawi la mtandaoni.
 
Back
Top Bottom