Recent content by Kwisaro

  1. Kwisaro

    Kuchagua upinzani 2020 ni msiba wa kujitakia

    Ukuu wa wilaya unakuhusu 2020 pambana! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kwisaro

    Kitendo cha Spika Ndugai kuutangazia Umma mkopo wa Lema ni kinyume na katiba na sheria. Lema hana cause of action dhidi ya Ndugai na benki hapa?

    Jinamizi la kumpiga fimbo yule mgombea kipindi cha kura za maoni bado linamtafuna Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Kwisaro

    Udanganyifu mitihani drs la saba serikali mmeyataka wenyewe.

    Nsanzu mwalimu baada ya kumsaidia mwl wanawaza namna ya kumdhoofisha kwa kuona leseni ndio suluhisho
  4. Kwisaro

    Udanganyifu mitihani drs la saba serikali mmeyataka wenyewe.

    Ukiangalia suala la udanganyifu wa mitihani ya drs la 7 kwa shule za umma serikali inaweza ikawa imechangia kwa kiasi kikubwa. Sababu kubwa ni posho za walimu wakuu laki 2 ambapo walimu wakuu ambao wataonekana kutofanya vizuri kwenye matokeo ya drs la 7 wako hatarini kupoteza nyadhifa zao pamoja...
  5. Kwisaro

    Sam Mahela sasa ndani ya TBC1

    Hayo ni maisha binafsi ya mtu kwani yeye hupendi kuboresha kitumbua chake,inawezekana 2020 akapta shavu la kuzunguka na msafara wa Mgombea wa ccm akakumbukwa ikulu
  6. Kwisaro

    Mwandishi wa habari anatengenezea watu kesi bandia

    Kwa muonekano lkn matendo
  7. Kwisaro

    Mwandishi wa habari anatengenezea watu kesi bandia

    Ukimuona alivyo smart utafikiri anaelimu ya Phd ,kumbe hapa mjini anaishi kwa kuunga unga
  8. Kwisaro

    Mwandishi wa habari anatengenezea watu kesi bandia

    Nikiwa mjini musoma majuma kadhaa yaliyopita niliweza kupata hbr zake na kipindi hicho ulikuwa ujio wa mkuu wa kaya,Alitengeneza fitina kuwa wahusika ambao ni watumishi wa serikali wametumia vibaya jina la mkuu wa kaya na kusababisha wahusika kuwekwa ndani.Nilipofatilia kwa makini jambo hili...
  9. Kwisaro

    Mwandishi wa habari anatengenezea watu kesi bandia

    Ni kwamba ukiwa na zengwe nae atajaribu kukutengenezea kesi yoyote ambayo inakuweka matatani.
  10. Kwisaro

    Mwandishi wa habari anatengenezea watu kesi bandia

    Huyu si mwingine ni ripota wa ITV kutoka mkoa wa Mara George Marato, Inabidi serikali imwangalie mwandishi huyu kwa jicho la 3 amekuwa akibabikizia watu kesi zisizo na ushahidi kupelekea wahusika kuwekwa ndani,amekuwa akitumia kofia yake ya ukada wa chama cha mapinduzi kama mwenyekiti wa kata ya...
  11. Kwisaro

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ayakana makontena 20 yaliyokwama bandarini

    Hahahaaaa!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kwisaro

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ayakana makontena 20 yaliyokwama bandarini

    Makonda soma alama za nyakati jeuri uliyonayo ipo siku itafika kikomo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kwisaro

    Haya yametokea awamu ya tano tu!

    Nafkr mambo yanayoendelea ya wabunge na madiwani kuachia nyadhifa zao kisa tu kuwa na mahaba na mkuu wa kaya inabidi ujiulize!! Ni kweli ni haki kikatiba mtu anao uhuru wa kuhamia chama chochote akitakacho.Lkn inaathari kwa sisi walipa kodi pesa ambazo zingeenda kwenye maendeleo ya taifa hili...
  14. Kwisaro

    NACTE diploma ya ualimu mwenye certificate grade A

    Anaweza kusoma diploma ya uongozi
  15. Kwisaro

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Na mm napenda haki lkn Mush ninachotaka kukwambia watanzania tumejengwa ktk maadili ya uoga,hofu na unafiki na ndivyo vinalimaliza taifa,Na hili ukiliangalia kwa undani linaanzia ngazi ya familia, Hata makazini tunakofanya kazi linatawala sana mnaweza kupanga jambo la lenye kuleta tija lkn sio...
Back
Top Bottom