Kuna watu hawaamini mpaka jinamizi la Corona liwe ndani ya nyumba yake. Hebu fikiri ingawa hatuombei, kama hii kitu ianze kuwapata viongozi unafikiri hali itakuwaje? Lazima tungesikia matamko mazito, ila Mungu hutoa fundisho, muda ni Rafiki mzuri!
UN ipo kimya sana kuhusu hili jambo. Yawezekana wanajua lakini wanajifanya hawajui. Ila ipo siku hii kitu itakuja kuwekwa wazi. Hebu pitia hizi nyaraka:
https://www.theguardian.com/world/2010/aug/26/un-report-rwanda-congo-hutus...
Haya maeneo yooote yana ulinzi mkali wa kamera. Hilo tukio linaweza kutafutwa na kuangaliwa lilivyotokea. Ukiangalia kwa undani utaona ni kama "anagandamizia" au kuigilizia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.