Recent content by Kwetu-Tz

  1. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Nassari aingia mkataba na Obama Foundation

    Acha wivu. Wewe ulitaka asote mtaani....wewe endelea kuisoma namba
  2. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Zitto awalipua Gazeti la Tanzanite, adai linapata Ruzuku kutoka Ikulu

    Kwa namna hii mvua itaendelea kuchelewa. Ee Mungu uturehemu
  3. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Wanasheria mtusaidie, Spika anaposhindwa kusimamia Azimio lililopitishwa na Bunge, nini kitatokea?

    Vipi wale wabunge waliopewa adhabu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Hoja juu ya hoja: Bunge kutoshirikiana na CAG si kuizika vita dhidi ya ufisadi iliyoasisiwa na inayosimamiwa na Rais Magufuli?

    Leo BUNGE limedhihirisha UDHAIFU wake. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ilala, Charles Kuyeko(CHADEMA), ajiuzulu Udiwani na kujiunga CCM

    CCM haitashunda kama unavyodhani kitakachotokea ni kwamba Mpinzani hatotangazwa hata akishinda. Na akienda mahakamani hatopewa haki. Hapo ndipo MEKO atajitangaza kuwa lifetime presidaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya ya ACACIA,tatizo ni kamati ya Prof.Osoro au tatizo ni BRELA?

    Akili nyingi huondoa maarifa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anatafakari hatua za kumchukulia mbunge Lijualikali kufuatia kauli za kejeli dhidi ya Spika na Bunge

    Mfute ubunge na huyo coz tushakuzoea Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Leo Hii Lowassa ni Mbunge wa Arusha/Monduli Hadi Aruhusiwe Maandamano na Mikutano?

    Viva LISSU, sisi tunakuombea na tunakuelewa sana kuliko yule kipara pale magogoni Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Kuanzia 01.03.2019 kila mtu lazima awe na kitambulisho cha machinga au ajira, kama huna we mhujumu uchumi

    Kuna wasanii enzi za kampeni 2015 walivaa Tshirt zimeandikwa "NIMESTUKA" Swali: hivi bado hawajastuka nahili la Bashite. Coz najua wanaishi DSM Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

    Mayala maana yake Njaa. Subiri karibu utateuliwa kuwa IJ Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania Serikali imepiga marufuku uuzaji wa kahawa ghafi kwenda nje ya nchi

    Sasa ivi tumehamia kwenye kusafirisha nyama ya mbuzi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania European Parliament resolution on Tanzania

    Halafu magu atakuambia Tanzania is donor Kantre
  13. Kwetu-Tz

    JamiiForums Tanzania BoT yazifungia benki 5 kutojihusisha na biashara ya fedha za kigeni

    Tutaelewana tu. Hata wale KINDAKINDAKIBnao wanaanza kuelewa kuisoma namba
Back
Top Bottom