Spika Ndugai anatafakari hatua za kumchukulia mbunge Lijualikali kufuatia kauli za kejeli dhidi ya Spika na Bunge

Namshauri mzee wangu Spika aachane tu na huyo bwana mdogo. Kifupi ampuuze. Lijua kali is a damaged good. Hawa ni watu wa kuwakokota hadi 2020 ambapo wapiga kura watakuja na maamuzi tofauti...
akili zako Hakuna.mbunge wa Morogoro CDM ambaye atashindwa.Akin mark my word kama Abood asipogombea 2020 basi ccm mmepoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika wa bunge Job Yoston Ndugai amesema kuwa atamchukulis hatua mbunge wa Chadema ,Peter Lijualikali kufuatia mbunge huyo kutoa maoni yake jana akipinga spika kumfutia ubunge wake Joshua Nassari .Spika katoa barua ya kusudio la kumchukulia hatua mbunge Peter Lijualikali .
Wewe unafikiri Ile amri aliyopewa siku ya makinikia si lazima aitii !! waTz tunanyanyaswa kwa sababu ya kuogopa tone damu si vinginevyo . Unadhani laiti angejua ukichezea moto angethubutu ?!. Waacheni waTz waendelee kuwa waungwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mchungu kwa bw spika wa sasa ni kwamba 2020 atampisha dr Tulia na ubunge wa kongwa inaweza kula kwake pia....ramli chonganishi...
 
Kama kuna sheria au kanuni yoyote ambayo amevunja najua ingetafsiriwa kwenye hiyo barua. Japo najua mzee wa nchi amefura sana kwa kauli hii ya mbunge.
 
Job ni muhuni kwelikweli! Ule uhuni aliomfanyie mccm mwenzie wakati wa kampeni umeusahau? Ni muhuni, ana roho mbaya afu katili sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tafsiri hiyo hapo juu Ndugai anaweza kawa na tabia gani ambayo siyo nzuri kwa wapinzani unavyoona wewe hasa kwa TL,Halima mdee,Nassar na CAG ingawa siyo mpinzani.
 
Spika ni mlezi, asitafakari saana bali amwache Lijualikali alivyo ili upumbavu wake umrudi. Kitendo hata cha kumjadili Lijualikali ni kumpandisha chati
 
Ule ugonjwa wa kutotaka kukosolewa umempata na yeye sasa wamekuwa malaika wakuu wawili Tanzania hii wasiokosea lolote mwiko kuwakosoa vinginevyo cha mtema kumi unakiona hasa ukiwa upinzani .
 
Back
Top Bottom