Recent content by Kwetu-Mbagala

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Habarini wanajamvi! Binafsi nimeyachukulia maamuzi ya kamati kuu CDM kama ni kitu cha kawaida tu ktk chama ktk muktadhi wa kujenga nidhamu.Ninashangaa sana kuona jambo hili kama limekuzwa sana.Mkumbuke kuwa, kwa muda mrefu ZZK mwenyewe alikua ameshajitenga na CDM! Ofisini alikua hafiki..mikutano...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Pesa za walipa kodi zamjengea Mh. Vicky Kamata ghorofa la 3 bilion

    Inasemekana wameshapata product, na pia mzee wa kulia nae ameshagusa ... !
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kitchen party: Ina faida kweli?

    WanaJF, katika miaka ya hivi karibuni, ktk jamii na familia zetu, kumekua na mashamsham hasa wenzetu wanapofunga ndoa. Miongoni mwa shamrashamra hizo imekua ni kuwafanyia dada zetu 'sherehe ya jikoni' (kitchen party).Lengo kuu la sherehe hiyo ni kuwaandaa dada zetu ili waweze kutimiza vyema...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kama chadema ikifa ... !

    Wana-JF kwa kweli inasikitisha sana kwa viongozi/wanachama wa chama chetu tawala kutojitambua.Ukiwafuatilia ktk mikutano yao na pia hata kwenye vikao vyao, wao badala ya kuongelea na kupanga jinsi gani ya kuboresha maisha yetu. Wao wamebaki kuijadili CDM na viongozi/wanachama wake.Hii kamwe...
  5. K

  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazidi kumeguka...!

    Hii habari nimeamua kuipotezea! Ina uhusiano gani na ahadi ya maisha bora tuliyoahidiwa? Boresheni maisha kwanza, hizo siasa zenu baadae!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mechi ya leo,YANGA v RUVU S: Waandishi wetu makanjanja,au?

    Nimeamua kurudi tena!Tunashukuru wale waliotusaidia kuweka kumbukumbu sawa.Tunawasamehe pia wale wote waliamua kuipotosha thread na wale wote waliamua kutukana.Hakika nchi haitoendelea kamwe kwa vijana kuamua kuwa wavivu wa kufikiri na kuamua kubobea ktk matusi.Ktk thread yangu, ukifikiria kwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania UTABIRI WANGU: Uchaguzi 2015, EL kugombea kama mgombea binafsi!

    Habarini wakuu! Binafsi mimi si mtabiri na sijawahi kufanya utabiri ktk jambo lolote.Lakini napenda kufanya utabiri ktk hili. Ktk uelekeo wa siasa za CCM Mh. EL ameshafanya jitihada kubwa kujijengea kukubalika na wanaCCM wenzake.Nae pia ameshatumia rasilimali kubwa ktk kujijenga kisiasa.Ila kwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mechi ya leo,YANGA v RUVU S: Waandishi wetu makanjanja,au?

    Habarini wakuu, leo kulikua na mechi ya Yanga na Ruvu S.Matokeo ni kuwa, Yanga 1 Ruvu 0.Goli la Yanga ktk mechi hiyo limefungwa na Hamis Kiiza.Kilichonishangaza ni kuwa, ktk kipindi cha michezo cha Radio One, wao wametangaza kuwa Hamis Kiiza amefunga goli kwa TIKTAKA akiunganisha krosi ya Mrisho...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Mke na Mume Wafungwa Kesi ya EPA Leo...

    "Mnajifanya hamsikii au nyie mna tatizo gani?"mlishaambiwa kuwa wazee wa kijiji huwa hawasumbuliwi! Wakisumbuliwa kijiji kitayumba!
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kusambaratika kama NCCR-Mageuzi siku si nyingi

    Sasa, kama CDM ikifa hiyo itaboresha vipi maisha yetu? Tunachotaka nyie maCiCiMu boresheni maisha yetu sasa! Tupo choka mbaya! Tumepigika nje-ndani.Tupo arosto kwelikweli! Maisha bora tuliyoahidiwa yapo wapi? Boresheni maisha yetu kwanza, siasa baadae!
  12. K

  13. K

  14. K

    JamiiForums Tanzania Crdb wanakata hela kwenye mshahara wako?

    Jamani imekuaje hiyo? Mimi nimejaribu kuangalia ktk benki statementi yangu, toka jan 2013 mpaka sasa sioni kitu! Labda nyie 'mnaokatwa' mngeenda benki kuuliza na mtuletee majibu mujarabu..
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jaji warioba : Maridhiano ya kitaifa ndio yatakayoleta katiba bora kwa taifa.....

    Mzee ana busara sana huyu.Tunashukuru kwa kutoa mwongozo.Mwenye masikio na asikie..
Back
Top Bottom