Recent content by Kwetu Masoko

  1. K

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM, bifu lenu linaiua UVCCM

    Waache watafunane wao kwa wao si yetu nacho
  2. K

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton

    Ha ha ha ha Miss usinifurahishe, naomba nami nichagulie kwa niaba iwe rangi ya silva
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kasaka: KUB Mbowe na CHADEMA hakuna maono Bungeni, wanawasaliti wananchi kususia bunge!

    Huyu mzee anazeeka vibaya, keshachoka huyu anafikiri siasa za enzi ya chama kimoja ni sawa na siasa za sasa. Ndo maana huwa anashindwa kila mara kwenye chaguzi za ubunge jimboni kwake kawa sababu hana hoja za kuwashawishi wapiga kura wake
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za WanaCCM "Hatutaki Vilaza Vyuo Vikuu" zawatokea puani leo

    Malisa, naomba kuuliza wengine wanasema sawa alipata division four, lakini alirisiti mitihani yake na kumuwezesha kuwa na sifa ya kujoin university, hivi ni kweli?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mikutano yote ya Kisiasa nchini, yapigwa Marufuku! kuanzia 07/06/2016 hadi usalama utakapotengemaa

    Hivi kazi ndo inaanza, aluta continue!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka kama Wapambe wa Kim Jong-Un,Ne Win,Idd Amin na Enver Hoxa

    Naona umewagonga nyundo ya utosini hao!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naibu spika ashangazwa na wabunge wa upinzani kutoka nje

    sasa mbona wanapowasilisha yale ambayo wananchi wanayataka yeye huyaondoa, sioni hapo anamaanisha nini?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya kukomesha vurugu Bungeni

    Akili yako ndogo!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo awashangaa Upinzani wanaotetea vihiyo

    Tangu lini Kitila Mkumbo akawa mwenyekiti wa ACT-Wazalendo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    Nguvu ya dola kamwe haiwezi kushindana na nguvu ya umma!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

    Unajua mtu anapoongea kuhusu kutapeliwa, kama hujawahi tapeliwa huwezi amini lakini omba yasikukute, hata nyasi ikikugusa utakuwa unahisi kama unataka kutapeliwa!
  12. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bila ya Tundu Lissu Bungeni ni sawa na Real Madrid bila ya Christian Ronaldo

    Nimeshatahadharisha kwamba Wakudadavuwa ni mkurupukaji!
  13. K

    JamiiForums Tanzania KUB Mbowe kitanzini Dodoma,wafuasi wamuonya asiposusa kweli watampopoa!

    Naona mwandishi ya habari hii kakurupuka!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

    Jaman dada wa watu, du dunia hii?
Back
Top Bottom