Uko sahihi. Tangazo lina maana kwa wale wanaoelewa kile Nachokizungumza. Kwa kifupi ni kuwa wakati wewe unatafuta picha za kuangalia katika post, kuna watu wanauziwa vifaranga wa sato na kambale na wengine wanaanza ujenzi wa mabwawa au mabanda kupitia kwetu. Sioni sababu ya kuingilia mtazamo...
Ni kipi unachohitaji kujua labda? Tuna kazi nyingi tunazofanya na ambazo zinaktuweka busy muda mwingi. Siyo kwamba tunapenda kukwepa maswali mengi ila muda wa kuyajibu ni finyu maana ukianza kujibu kila case, muda unaotumika ni mwingi na ndiyo maana tunashughulika na wanaopiga. Kama unakwazika...
Utapeli upi tena mkuu? Unatapeliwa vipi katika biashara kama hii? Acha mawazo hasi. Ingawa tahadhari siyo kitu kibaya, ulipaswa kuwa na solid ushahidi kabla ya kuhitimisha tuhuma zako.
Hiyo ni vita na namna rahisi ya kuiresolve siyo kukimbia, mfuate kila mmoja kwa muda wake umfungukie juu ya uhalisia wa mambo na dhumuni lako la kuwatema na kubaki na mother house. Mwambie mother house ukweli na nia yako ya kutulia na peke yake maana unapenda n.k
Kama wakiendelea kusumbua, kaa...
Mfano kama eneo ni la kwenye bonde lenye matope, mchanga wenye maji yaliyo juu au maji yaliyo mbali, au mlimani, au ndani ya maji ya bwawa, kando ya mto n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.