Recent content by kwemsangazi

  1. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

    Pole sana kiongozi. Wenyewe kwenye hii thread wanapita tu kama hawaoni vile. Wanaume tunapitia mengi Mungu atunusuru
  2. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Nawezaje jifunza kifaransa kwa haraka?

    Wacheki hawa Alliance Francaise 0222131406 kama upo Dar es Salaam. Wapo nyuma ya Las Vegas Casino, Upanga.
  3. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibu... Ukiona inafaa twende nayo. Ni 1xbet
  4. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Asante kwa kututia moyo... Haya mambo haya ndio maana wanaume wengi wanawahi kufa.
  5. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inabidi uwe na roho ngumu sana kwenda sambamba naye.... tips zake za hatari hatari
  6. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaani hawaachi kitu ukiweka 1000 linaenda, 100,000 inaenda..... [emoji3][emoji3]
  7. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sure ndio mwendo huo...
  8. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duu man kweli umepunwa.... Ila one day yes tu itarudi. Usichoke
  9. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na hasara zake pia.... Maana kuna kipindi alipokea vipigo mpaka ikawa kero
  10. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii ilikuwa hela ila imenipita
  11. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

    Nilitaka kumuuliza hili pia asante kwa kunitangulia
  12. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania TTCL 4G: SPIDI HII NI KWANGU TU AU.

    Nafikiri wana shida upande wa 4g jaribu kuswitch 3g mtandao upo vizuri mimi natumia hiyo tangu jana
  13. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu ya mfupa Wa kifua (sternum)

    Asante kwa maelezo yako mkuu... Nami umenisaidia mahali, namimi hii shida imenisumbua nikaenda hospital wakanipa vidonge vya maumivu.
  14. kwemsangazi

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Usiku wa manane Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom